CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Mkuu wa wilaya ya bukoba atawapokea Taifa stars pale aiport kwa mboko
 
Haya wadau mm ndio naanza weekend. Tanzania mkoba wa sababu tumeshaundaa.
 
yani dakika 5 tu, bora hata tungebaki bila bila ,kuliko ilivyokuwa,moyo umepiga kwa furaha dakika 2 za baadae umezima kama haupo
 
Zambia poin 5
Senegal 5
Tanzania 4
Ivory Coast 1

Kwanini tupite? wakati zinapita timu mbili tu?

Kila kundi linatoa timu mbili, hivyo ni Zambia na Senegal ndio wanasonga mbele. Pia pointi ulizotoa sio sahihi, Zambia hawawezi kuwa sawa na Senegal wakati wameshinda mechi mbili na kutoa droo moja, huku Senegal wakishinda moja na kutoa droo mbili.
 
hayo ni matokeo b4 mechi za leo.....kwa hiyo senegal wana point 6 sisi 5
 
Ndio maana nachukia sana kuangalia gemu ya kuinvesti emotions upande mmoja, matokeo yake ndio kama haya sasa.....navua fulana yangu ya Tanzania hapa maana nitachokozwa mpaka nikasirike kwa mara ya pili....
 
yani dakika 5 tu, bora hata tungebaki bila bila ,kuliko ilivyokuwa,moyo umepiga kwa furaha dakika 2 za baadae umezima kama haupo

Taifa star wamefunga dakika ya 92 na zambia wakajibu dakika ya 95
 
Kila kundi linatoa timu mbili, hivyo ni Zambia na Senegal ndio wanasonga mbele. Pia pointi ulizotoa sio sahihi, Zambia hawawezi kuwa sawa na Senegal wakati wameshinda mechi mbili na kutoa droo moja, huku Senegal wakishinda moja na kutoa droo mbili.

Jiridhishe kabla ya kuja na matokeo yako, timu zote zimecheza mechi tatu na hakuna timu iliyoshinda mechi mbili kwenye group hili
 
Kila kundi linatoa timu mbili, hivyo ni Zambia na Senegal ndio wanasonga mbele. Pia pointi ulizotoa sio sahihi, Zambia hawawezi kuwa sawa na Senegal wakati wameshinda mechi mbili na kutoa droo moja, huku Senegal wakishinda moja na kutoa droo mbili.

Mkuu huyo yuko sahihi
Zambia na senegal wanapoint sawa.
Zambia wameifunga IC ,wamedroo na senegal na wamedroo na TZ hivyo yupo sahihi
 
Jiridhishe kabla ya kuja matokeo yako, timu zote zimecheza mechi tatu na hakuna timu iliyoshinda mechi mbili kwenye group hili

Nimekubali, nilikuwa napiga hesabu kama tumefungwa, hasira ya kurudishiwa bao dk za mwisho nikaweka Zambia wameshinda mechi mbili. Ni kweli kwa Zambia wameshinda mechi moja a IC na kudroo mbili. Hivyo watakuwa sawa kwa pointi na Senegal ambao nao walishinda mechi 1 na TZ na kudroo mbili.
 
Ila jamani turudi nyuma ile penalt tulistahili?, maana mpaka sasa mimi sijajua kosa lilikuwa nini?

Halafu imekuwaje tumeshindwa linda gori kwa dakika 3 tu wakati tuliweza kulinda kwa dakika 60 mechi IC?. Hapa hawa walinzi wetu enzi za Mnali ni viboko tu
 
Nimekubali, nilikuwa napiga hesabu kama tumefungwa, hasira ya kurudishiwa bao dk za mwisho nikaweka Zambia wameshinda mechi mbili. Ni kweli kwa Zambia wameshinda mechi moja a IC na kudroo mbili. Hivyo watakuwa sawa kwa pointi na Senegal ambao nao walishinda mechi 1 na TZ na kudroo mbili.

Tujiandae na mechi zingine vijana wamejitahidi,tatizo baada ya kufunga gori wakakimbilia wote nyuma
 
Yaani kule kwetu Tanga hii staili ya leo tunasema ni sawa na umekula pilau, halafu mwisho ukanywa soda ya Anjari. yaani kila ukibehua ni harufu ya anjari tu, pilau lote limemezwa na harufu ya anjali
 
Ndio mnataka kuniambia kuwa bado tuna hopu na oksijeni ya kuendelea???
 
Yaani kule kwetu Tanga hii staili ya leo tunasema ni sawa na umekula pilau, halafu mwisho ukanywa soda ya Anjari. yaani kila ukibehua ni harufu ya anjari tu, pilau lote limemezwa na harufu ya anjali

Swadaktaa......Wauya wapi mwakwetuuu??
 
Yaani kule kwetu Tanga hii staili ya leo tunasema ni sawa na umekula pilau, halafu mwisho ukanywa soda ya Anjari. yaani kila ukibehua ni harufu ya anjari tu, pilau lote limemezwa na harufu ya anjali

Duu kweli lakini tumejitahidi tumetowa salamu
 
Back
Top Bottom