Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kwa nini tuspite kama msimamo ndio huo
Zambia pointi 7, Senegal 5, Taifa 4, IC 1 (kama matokeo ya Senegal na IC yatakuwa 0-0)
Zambia poin 5
Senegal 5
Tanzania 4
Ivory Coast 1
Kwanini tupite? wakati zinapita timu mbili tu?
hayo ni matokeo b4 mechi za leo.....kwa hiyo senegal wana point 6 sisi 5Zambia poin 5
Senegal 5
Tanzania 4
Ivory Coast 1
Kwanini tupite? wakati zinapita timu mbili tu?
yani dakika 5 tu, bora hata tungebaki bila bila ,kuliko ilivyokuwa,moyo umepiga kwa furaha dakika 2 za baadae umezima kama haupo
Kila kundi linatoa timu mbili, hivyo ni Zambia na Senegal ndio wanasonga mbele. Pia pointi ulizotoa sio sahihi, Zambia hawawezi kuwa sawa na Senegal wakati wameshinda mechi mbili na kutoa droo moja, huku Senegal wakishinda moja na kutoa droo mbili.

Jiridhishe kabla ya kuja matokeo yako, timu zote zimecheza mechi tatu na hakuna timu iliyoshinda mechi mbili kwenye group hili
Nimekubali, nilikuwa napiga hesabu kama tumefungwa, hasira ya kurudishiwa bao dk za mwisho nikaweka Zambia wameshinda mechi mbili. Ni kweli kwa Zambia wameshinda mechi moja a IC na kudroo mbili. Hivyo watakuwa sawa kwa pointi na Senegal ambao nao walishinda mechi 1 na TZ na kudroo mbili.
Yaani kule kwetu Tanga hii staili ya leo tunasema ni sawa na umekula pilau, halafu mwisho ukanywa soda ya Anjari. yaani kila ukibehua ni harufu ya anjari tu, pilau lote limemezwa na harufu ya anjali
Yaani kule kwetu Tanga hii staili ya leo tunasema ni sawa na umekula pilau, halafu mwisho ukanywa soda ya Anjari. yaani kila ukibehua ni harufu ya anjari tu, pilau lote limemezwa na harufu ya anjali