Kwa jinsi nilivyoona inabidi Starz wacheze mpira wa chini. Hawa jamaa wanachokifanya ni kutumia Senegal brand kuwatisha vijana wetu. Wasenegal wanakaba watatuwatatu. Ila Nafasi ipo ya kurudisha na hata kuwafunga kama vijana watacheza mpira wao na si kuwafuata hawa jamaa
mhh jamani........lughazz
wewe jipe moyo tu kumbuka Mwinyi alishajisemea!Tanzania ni kichwa cha mwenda......Na wasenegal leo watajifunzia!Dah,
Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.
Najipa moyo, tutashinda tuuu
acha kujitukana moyo?wewe jipe moyo tu kumbuka Mwinyi alishajisemea!Tanzania ni kichwa cha mwenda......Na wasenegal leo watajifunzia!
wewe jipe moyo tu kumbuka Mwinyi alishajisemea!Tanzania ni kichwa cha mwenda......Na wasenegal leo watajifunzia!
Yaani ndio kama mimi...nimeshajiumiza vidole vya mguu kwa kupiga teke coffee table......Ushabiki mbaya sana, ndio maana sipendagi kuwa upande wowote nikiwa naangalia game yoyote ile...Lakini hii ni Tanzania leo ndio inayocheza. Nitafanyaje sasa...inabidi tu..Dah,
Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.
Najipa moyo, tutashinda tuuu
Masanilo with due respect, withdraw your stament!!
Iliwahi kuwa, si kichwa cha mwendawazimu tena!First lady, inabidi tupige kura, wangapi wanaamini Tanzania bado ni Kichwa cha "Mwendawazimu"?
FL n Shadow
Jamani I was just trying to pull your leg...I du not mean it at all sawa? I am a commited christian!!
Yaani ndio kama mimi...nimeshajiumiza vidole vya mguu kwa kupiga teke coffee table......Ushabiki mbaya sana, ndio maana sipendagi kuwa upande wowote nikiwa naangalia game yoyote ile...Lakini hii ni Tanzania leo ndio inayocheza. Nitafanyaje sasa...inabidi tu..
mimi kwa kweli siamini huu usemi!Tanzania tumepiga hatua sana!kwanza vijana wanalisakata kabumbu sema ndo hivyo tena mpira ni magoli!First lady, inabidi tupige kura, wangapi wanaamini Tanzania bado ni Kichwa cha "Mwendawazimu"?
kikwete aliwaambia mrudi nyumani hamsikii......sasa ona unakosa uhondo.....mmi niko bar lakini mhh hawa wahudumu kaazi kweli....update ni kwamba Yanga watarudisha mashehe wetu wa JF wakina Xpasteer etal na makasisi mtindio na maxshimba wafanye juhudi kupekua misahafu