Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
hihihihihih maslahi ya taifa mbele......kama umetoka abroad wanajua wale wale waJF......Bongo walisema tulionje hatuwezi kupata kazi kwenye serikali na hasa tunaoshinda hapa JF...
.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hihihihihih maslahi ya taifa mbele......kama umetoka abroad wanajua wale wale waJF......Bongo walisema tulionje hatuwezi kupata kazi kwenye serikali na hasa tunaoshinda hapa JF...
hihihihihih maslahi ya taifa mbele......kama umetoka abroad wanajua wale wale waJF......
.....
mkuu acha uzalendo kamkanyaga kabisa.....Mgosi analambwa kadi ya njano. Njumu zake zile zilimparaza jamaa.
Dah,Presha inapanda presha inashuka!
Dakika zinaishia hamna matumaini.
Tuko pamoja Stars mshindwe au mshinde...
Tuna wamasai mbona hawakuitwa?Nilichoona ni ufupi wa wachezaji wetu unaotugharimu tu
Mkuu mpira si kurukaruka...Tuna wamasai mbona hawakuitwa?
Tuna wamasai mbona hawakuitwa?
Yanga imefungwa?!
Mkuu mpira si kurukaruka...
Dah,
Jamaa wanaenda hewani mpaka wanawaruka wachezaji wetu... Ufupi si ugonjwa!
Simba wengi ndio wametukosti....Yanga imefungwa?!
Yanga imefungwa?!