CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Bongo walisema tulionje hatuwezi kupata kazi kwenye serikali na hasa tunaoshinda hapa JF...
hihihihihih maslahi ya taifa mbele......kama umetoka abroad wanajua wale wale waJF......
.....
 
Mgosi analambwa kadi ya njano. Njumu zake zile zilimparaza jamaa.
 
Jamaa wanajiangusha sasa kupoteza muda, hii mechi hatuchomoki wadau
 
Presha inapanda presha inashuka!
Dakika zinaishia hamna matumaini.
Tuko pamoja Stars mshindwe au mshinde...
 
hihihihihih maslahi ya taifa mbele......kama umetoka abroad wanajua wale wale waJF......
.....

Dogo huna credibility na pia huweki maslahi ya taifa mbele....waambie washikaji hapo washike sehemu sehemu nasikia huwa inasadie kwenye football
 
Haya wale wa kigilagila....Yombo vituka.....Kunduchi kwa mabange....Mwananyamala komakoma slaa slaa nukta nukta kwa kidala shop, tunaomba muanze kwenda kuwahi madaladala.....hakirudi hicho....
 
Presha inapanda presha inashuka!
Dakika zinaishia hamna matumaini.
Tuko pamoja Stars mshindwe au mshinde...
Dah,

Muda ndo umeisha kabisa sasa. Dakika ya 45 inaenda hiyo.

Nilichoona ni ufupi wa wachezaji wetu unaotugharimu tu
 
Hongera sana Maximo kama tumefungwa moja tu sisi tumeanza kuwa ngangari!!! Tanzania hoyeee
 
midfield yetu inakumbuka shuka asubuhi. Sasa tunafikafika golini. Uhaio kati unaonekana kidogo.
 
Lakini in general tumejitahidi....tunaweza kusukuma gozi kumbe, niliwa andaestimeti Staz sana tu. marekebisho ya hapa na pale, timu ikiachiwa mafundi, majungu nje, fweza ya kuitengeneza ikiwepo, si muda mrefu na sisi tutakuwa na cha kujivunia......Mi naenda kulala, hakutokuwa na jipya tena hapa..
 
Back
Top Bottom