CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Kwa jinsi nilivyoona inabidi Starz wacheze mpira wa chini. Hawa jamaa wanachokifanya ni kutumia Senegal brand kuwatisha vijana wetu. Wasenegal wanakaba watatuwatatu. Ila Nafasi ipo ya kurudisha na hata kuwafunga kama vijana watacheza mpira wao na si kuwafuata hawa jamaa

Kick the ball as far forward as you can and hope for the best. That seems to be our strategy. When was the last run down the wing or build up in the middle. We can't even keep possesion of the ball. This is terrible football.
 
Dah,

Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.

Najipa moyo, tutashinda tuuu
wewe jipe moyo tu kumbuka Mwinyi alishajisemea!Tanzania ni kichwa cha mwenda......Na wasenegal leo watajifunzia!
 
wewe jipe moyo tu kumbuka Mwinyi alishajisemea!Tanzania ni kichwa cha mwenda......Na wasenegal leo watajifunzia!

First lady, inabidi tupige kura, wangapi wanaamini Tanzania bado ni Kichwa cha "Mwendawazimu"?
 
Dah,

Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.

Najipa moyo, tutashinda tuuu
Yaani ndio kama mimi...nimeshajiumiza vidole vya mguu kwa kupiga teke coffee table......Ushabiki mbaya sana, ndio maana sipendagi kuwa upande wowote nikiwa naangalia game yoyote ile...Lakini hii ni Tanzania leo ndio inayocheza. Nitafanyaje sasa...inabidi tu..
 
Senegal wanafanya subs ya pili. Kaingia Diamnka, katoka mjomba yule....
 
First lady, inabidi tupige kura, wangapi wanaamini Tanzania bado ni Kichwa cha "Mwendawazimu"?
Iliwahi kuwa, si kichwa cha mwendawazimu tena!

Mbona Ivory Coast wamefungwa nyumabi kwao?

Mpira unadunda banaaa
 
FL n Shadow

Jamani I was just trying to pull your leg...I du not mean it at all sawa? I am a commited christian!!

Nimekuelewa Masanilo hila sijui wengine? manake maneno ni zaidi ya risasi usije ukawa umesabisha mmoja wa ndugu zetu kunyofolewa viungo kwa sababu ya hii gemu!
 
Yaani ndio kama mimi...nimeshajiumiza vidole vya mguu kwa kupiga teke coffee table......Ushabiki mbaya sana, ndio maana sipendagi kuwa upande wowote nikiwa naangalia game yoyote ile...Lakini hii ni Tanzania leo ndio inayocheza. Nitafanyaje sasa...inabidi tu..

Duh,Kumbe afadhali mimi.Ha ha ha gharama ya uzalendo mkuu
 
First lady, inabidi tupige kura, wangapi wanaamini Tanzania bado ni Kichwa cha "Mwendawazimu"?
mimi kwa kweli siamini huu usemi!Tanzania tumepiga hatua sana!kwanza vijana wanalisakata kabumbu sema ndo hivyo tena mpira ni magoli!
 
kikwete aliwaambia mrudi nyumani hamsikii......sasa ona unakosa uhondo.....mmi niko bar lakini mhh hawa wahudumu kaazi kweli....update ni kwamba Yanga watarudisha mashehe wetu wa JF wakina Xpasteer etal na makasisi mtindio na maxshimba wafanye juhudi kupekua misahafu

HAhahaha bwana Liyumba amepita huko Shem kwa mabarmaid nikirudi sitaki hao mademu !! Bongo walisema tulionje hatuwezi kupata kazi kwenye serikali na hasa tunaoshinda hapa JF...
 
Huyu kipa wao - Mbia- hana tofauti sana na Dihile kwa kimo na ufundi dimbani mpaka sasa.
 
Inahuzunisha lakini ndio hivyo tumekilalia kidude hicho, hakichomoki...
 
Back
Top Bottom