CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
 
Sub ya Chilunda na Lyanga imesaidia kidogo! Yule Miraji na Nado leo walikuwa chini ya kiwango
 
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
ACHA DHARAU WEWE TANZANIA IMEKUAIBISHA.ULIIDHARAU NCHI HAJI YAMEKUTOKEA PUANI
 
Back
Top Bottom