Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk ngapi?
Na wewe utupe matokeo yako mkimaliza.Mie nipo nacheza na My waifu wangu hapa. Mtanipa matokeo kesho
Tz 2 Sudan 1 dakika 84
Ni kweli?Sudan 1-2 Tanzania dk 82
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
wafungaji naniTz 2 Sudan 1 dakika 84
Aliyewafunga YangaNani kafunga goal la 2?
Kama matokeo yakiisha kwa stars kushinda 2 kwa 1 Nani atapita?Aliyewafunga Yanga
wafungaji wa magoli yote????
Tatizo LA wabongo hawawezi kusastain hadi mwisho, watatepeta soon, wataruhusu baoTz 2 Sudan 1 dakika 84
ACHA DHARAU WEWE TANZANIA IMEKUAIBISHA.ULIIDHARAU NCHI HAJI YAMEKUTOKEA PUANINashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Aggregate,inakuwa 2-2 Stars inapita kwa thamani ya goli LA ugeniniKama matokeo yakiisha kwa stars kushinda 2 kwa 1 Nani atapita?
Tutapita sababu tuna magoli mengi away while home tulitoka kwa draw ya 1-1.Aggregate,inakuwa 2-2 Stars inapita kwa thamani ya goli LA ugenini