Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Unaruhusiwa Ila inshu Ni hicho kigezo Cha umri ( usiwe zaidi ya Miaka 21)Mimi mwalimu siruhusiwi kuomba?
ACSEMn kweny ajira portal sioni ipo kweny category gani?
Ndo ivo hakuna namnaNimepaon lkn sas Cheri cha f6 ni bdo na hapo wameandika results slip hawataki
mwajiriwa hakuna limit ya miaka soma tena tangazo?Unaruhusiwa Ila inshu Ni hicho kigezo Cha umri ( usiwe zaidi ya Miaka 21)
Nikweli
Sasa wengi wetu ni jobless ndo shidaNikweli
kuna dogo langu la kike anataka aombe post namba mbili je female wanaruhusiwa?
Wanaruhusiwa mzeekuna dogo langu la kike anataka aombe post namba mbili je female wanaruhusiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa