Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Tulisha kubaliana hapa ndani na wajumbe wakapitisha sheria kwamba hakuna kuona...

Hahahaa haya makubaliano ya jukwaani tuu babu
Huko waliko wanafanya yao wanayoyapenda.... na wewe fanya yako. Wasikilizie tuu kwa mbaaali😆😆😆
 
Kama waweza epusha kuishi na mtu Mwenye mtoto Ni Jambo gumu Sana, wazazi kuachana kabisa Ni ngumu Sana, labda mjane
Kuna mtu humu aliwahi kuandika...."ili nimuoe single mom basi anioneshe kaburi la mme wake" 😁
 
Unakunywa kinywaji gani kaka?

Umemaliza yote!!!!!
 
Kama wewe ni mwanamke na umekutana na mwanaume anasema hawezi kumheshimu mwanamke mwenye mtoto ila anakuheshimu wewe kwakua hauna mtoto kua makini naye coz it's either he respects all women or he doesn't womanhood is not binary.
 
Wazoefu tupo hapa ngoja niwaletee uzi jinsi ya kumfanya mtoto wa jamaa amsahau baba yake ila awe chini ya miaka mitatu
 
Hivi ni rahisi hivyo mtu kumpotezea mtoto wake mazima?
kuoa mwanamke mwenye mtoto hapo kuna mawili..
1. Baba mtoto achague kutomuona tena mtoto wake na athibitishe hilo kwa baba mlezi.
2. Amchukue mtoto wake amlee yeye
 
Kulea watoto ambao sio wako Kama upo tayari kwa hili fresh tu
 
Hivi ni rahisi hivyo mtu kumpotezea mtoto wake mazima?
Sasa kama baba mzazi wa mtoto hataki kukaa na mtoto wake mimi nifanyeje?
Ndo maana hua siwashangai wanaosema "kuoa singo maza mpaka waonyeshwe kaburi la baba mzazi wa mtoto"
 
Mzazi yoyote ana haki ya kukaa na mtoto wake. Sawa baba mzazi kaamua kumchukua mtoto wake; ina maana mama yake (mkeo), na yeye aka-sign kutokumuona mtoto wake tena?

Hata sisi wanawake tunaambiana siku hizi " ukitaka kuolewa na singo faza, hakikisha kakuonesha kaburi la mama wa mtoto wake". Mapungufu na changamoto za singo mazas; nyingi na singo fazas wanazipitia vilevile
Sasa kama baba mzazi wa mtoto hataki kukaa na mtoto wake mimi nifanyeje?
Ndo maana hua siwashangai wanaosema "kuoa singo maza mpaka waonyeshwe kaburi la baba mzazi wa mtoto"
 
Vice versa is not true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…