Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Tulisha kubaliana hapa ndani na wajumbe wakapitisha sheria kwamba hakuna kuona...Kwani mlikubaliana nini babu!?
[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisha kubaliana hapa ndani na wajumbe wakapitisha sheria kwamba hakuna kuona...Kwani mlikubaliana nini babu!?
[emoji848]
Tulisha kubaliana hapa ndani na wajumbe wakapitisha sheria kwamba hakuna kuona...
Sasa mie nitampendaje mtoto ambae sio wangu bwana....hizi ni unrealistic expectations tuu.Changamoto kubwa ni mitazamo. Mara nyingi huwa wana mitazamo ya kuwa baba/mama wa kambo hawapendi watoto wao.
Pia na kupasha kiporo hii nayo ni changamoto.
Kuna mtu humu aliwahi kuandika...."ili nimuoe single mom basi anioneshe kaburi la mme wake" 😁Kama waweza epusha kuishi na mtu Mwenye mtoto Ni Jambo gumu Sana, wazazi kuachana kabisa Ni ngumu Sana, labda mjane
😂😂😂😂 dah!!!Sasa mie nitampendaje mtoto ambae sio wangu bwana....hizi ni unrealistic expectations tuu.
Unakunywa kinywaji gani kaka?Wakati nakutana naye we were like ok we will just be fvck buddies at that point her kid was four months old. A month after FWB started she told me she thinks the FWB degrades her so let's have a relationship.
As a nigga I couldn't throw away my chances of smashing a fine nyau so I agreed. Fast forward a year later dogo amekua anaongea na mtu anayemuona na mama yake ni mimi so lil nicca called me daddy. Baba yake mzazi alikua ameisusa familia so nilikua ni provider since akiwa na miezi sita hivi.
Dogo akakua mpaka miaka 2 hapa sasa mzee wake akaja kutaka mtoto binafsi naamini wanaume hatupotezei watoto wetu kwa kupenda so sijawahi kua against interests za mshkaji anapokua anamtaka mwanae. So nilivyoambiwa anataka mtoto aende nikasema aende, mtoto kufika alivyoonyeshwa
Wazoefu tupo hapa ngoja niwaletee uzi jinsi ya kumfanya mtoto wa jamaa amsahau baba yake ila awe chini ya miaka mitatu
kuoa mwanamke mwenye mtoto hapo kuna mawili..
1. Baba mtoto achague kutomuona tena mtoto wake na athibitishe hilo kwa baba mlezi.
2. Amchukue mtoto wake amlee yeye
Sasa kama baba mzazi wa mtoto hataki kukaa na mtoto wake mimi nifanyeje?Hivi ni rahisi hivyo mtu kumpotezea mtoto wake mazima?
Sasa kama baba mzazi wa mtoto hataki kukaa na mtoto wake mimi nifanyeje?
Ndo maana hua siwashangai wanaosema "kuoa singo maza mpaka waonyeshwe kaburi la baba mzazi wa mtoto"
Vice versa is not true.Mzazi yoyote ana haki ya kukaa na mtoto wake. Sawa baba mzazi kaamua kumchukua mtoto wake; ina maana mama yake (mkeo), na yeye aka-sign kutokumuona mtoto wake tena?
Hata sisi wanawake tunaambiana siku hizi " ukitaka kuolewa na singo faza, hakikisha kakuonesha kaburi la mama wa mtoto wake". Mapungufu na changamoto za singo mazas; nyingi na singo fazas wanazipitia vilevile
Muache ubinafsiVice versa is not true.
Kwanini utake mtoto amsahau baba yake? Ili iweje sasa?Wazoefu tupo hapa ngoja niwaletee uzi jinsi ya kumfanya mtoto wa jamaa amsahau baba yake ila awe chini ya miaka mitatu