Hapo shida ni gani sasa[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Ngoja wenye uzoefu waje...
Kuna kero moja ambayo sana huletwa na mwanamke, unapata bado anataka baba mzazi aendelee kuhudumia mwanaye...kitu kinachopelekea mwanamama kuwa karibu sana na ex wake...
Acha uchoyo.Hawaachani na waume waliowwzalisha
Wakikutana mwamba akitaka mzigo faster
Gharama za maisha zinaongezeka kwako unahudumia manii ya mwenzako, pata picha mkeo alikuwa anafurahia wakati anazini na huyo baba mtoto alafu unakuja kulipa ww ada starehe ya mwenzako [emoji38][emoji38]
Hapo shida ni gani sasa[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Anahudumia mwanae sio mimi.Kama unataka kuwa karibu na ex wako si ukakae kwake aendelee kukuhudumia!!
Anahudumia mwanae sio mimi.
Swali gani hilo sasa! Mtoto huwa na baba wangapi?Kwa hiyo mtoto ana baba wangapi?
Mtazamo wangu upo hivi kulingana na scenarios tofauti tofauti, sijui kwa wengine...
1. Nikiamua kuoa mwanamke ambaye ni single mom, basi hata mwanaye/wanaye watakuwa chini ya himaya yangu kwa kila kitu...
2. Endapo mimi ni mwanaume niliyemzalisha mwanamke na mwanamama huyo akaolewa na mwanaume mwingine, nitamfungulia mtoto akaunti na hela yake nitaweka huko. Akiwa mkubwa atakutana nayo...
Swali gani hilo sasa! Mtoto huwa na baba wangapi?
Sio ubinafsi ndo ukweli huo,Muache ubinafsi
Karogwa muache atakuja kulia 😂😂😂ikifika father's day atampost yul jamaa ake 😂😂Kweli binadam tunatofautiana,
Yani wakati mimi nawaza kuoa demu mwenye bikra jamaa mmoja yeye anawaza kuoa demu aliyekambwa hadi kuzaa hahahah
Hiyo yote ili?Yaani huwezi ishi kwa mwanaume huyu ukiwa na mtoto wa mwanaume yule, halafu mtoto huyo anaendelewa kuhudumiwa na mwanaume yule...
Chagua moja, mtoto awe wa baba huyu au baba yule...
Sio baadhi ya matunzo unasema haya ni baba huyu, na matunzo mengine yanakuwa ya baba yule...
Nimeilewa sanaHawaachani na waume waliowwzalisha
Wakikutana mwamba akitaka mzigo faster
Gharama za maisha zinaongezeka kwako unahudumia manii ya mwenzako, pata picha mkeo alikuwa anafurahia wakati anazini na huyo baba mtoto alafu unakuja kulipa ww ada starehe ya mwenzako [emoji38][emoji38]
Hiyo yote ili?
Habari wakuu,
Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.
Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi 3 bila ya mtoto huyo kuwepo.
Tatizo ninaloliona ni utundu wa huyo mtoto ambao wakati mwingine unasababishwa na kudekezwa na mama yake.
Mfano siku moja aliiburuza chini Iphone ya baba yake mlezi, akafokewa na baba huyo, Jambo hilo lilisababisha mama akasirike kwa madai kuwa baba hampendi mtoto.
Je changamoto gani nyingine za kuoa mwanamke mwenye mtoto mdogo?

Si ndio ana baba mmoja, kwani kunawezekanaje mtoto akawa na baba wawili?Mtoto awe na baba mmoja...