Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Changamoto gani utakutana nazo kwa kuoa au kuishi na Mwanamke mwenye mtoto?

Ngoja wenye uzoefu waje...

Kuna kero moja ambayo sana huletwa na mwanamke, unapata bado anataka baba mzazi aendelee kuhudumia mwanaye...kitu kinachopelekea mwanamama kuwa karibu sana na ex wake...
Hapo shida ni gani sasa[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
 
Hawaachani na waume waliowwzalisha
Wakikutana mwamba akitaka mzigo faster

Gharama za maisha zinaongezeka kwako unahudumia manii ya mwenzako, pata picha mkeo alikuwa anafurahia wakati anazini na huyo baba mtoto alafu unakuja kulipa ww ada starehe ya mwenzako [emoji38][emoji38]
Acha uchoyo.
 
Mtazamo wangu upo hivi kulingana na scenarios tofauti tofauti, sijui kwa wengine...

1. Nikiamua kuoa mwanamke ambaye ni single mom, basi hata mwanaye/wanaye watakuwa chini ya himaya yangu kwa kila kitu...

2. Endapo mimi ni mwanaume niliyemzalisha mwanamke na mwanamama huyo akaolewa na mwanaume mwingine, nitamfungulia mtoto akaunti na hela yake nitaweka huko. Akiwa mkubwa atakutana nayo...

cc Habun
 
Swali gani hilo sasa! Mtoto huwa na baba wangapi?

Yaani huwezi ishi kwa mwanaume huyu ukiwa na mtoto wa mwanaume yule, halafu mtoto huyo anaendelewa kuhudumiwa na mwanaume yule...

Chagua moja, mtoto awe wa baba huyu au baba yule...

Sio baadhi ya matunzo unasema haya ni ya baba huyu, na matunzo mengine yanakuwa ya baba yule...
 
Muache ubinafsi
Sio ubinafsi ndo ukweli huo,
Kwani wewe hujawahi kujiuliza ni kwanini inawezekana mwanamume mmoja anaweza kuoa wake 2+ lakini hujawahi ona mwanamke mmoja kaolewa na wanaume 2+ (hapa naongelea ndoa).

Maanayake kama mwanaume anaweza kuoa wanawake zaidi ya mmoja kwahiyo mwanaume huyo hata akiwa singo faza wala sio big deal singo faza kuoa mwanamke tena mmoja.
 
USIJE UKAJARIBU KUFANYA IVYO TAFUTA MWANAMKE MWINGINE MBICHI

kwa herufi kubwa nakusisitiza achana nae labda umzalish usimuoe utakuja kulia kwanza wanawake wakishazaa wanakuwa na confidenc za kishamba kujiona ,roho mbaya zinaanza

Huyo jamaa yake atakuja kurudiana naye mda wowote na wewe watakuona kama panya tu kuepuka dharau na kiburi unaweza kuja kuua mtu bure
 
Yaani huwezi ishi kwa mwanaume huyu ukiwa na mtoto wa mwanaume yule, halafu mtoto huyo anaendelewa kuhudumiwa na mwanaume yule...

Chagua moja, mtoto awe wa baba huyu au baba yule...

Sio baadhi ya matunzo unasema haya ni baba huyu, na matunzo mengine yanakuwa ya baba yule...
Hiyo yote ili?
 
Hawaachani na waume waliowwzalisha
Wakikutana mwamba akitaka mzigo faster

Gharama za maisha zinaongezeka kwako unahudumia manii ya mwenzako, pata picha mkeo alikuwa anafurahia wakati anazini na huyo baba mtoto alafu unakuja kulipa ww ada starehe ya mwenzako [emoji38][emoji38]
Nimeilewa sana
 
Mi nikutane n mwanamke afu aanze stori mwanangu anaumwa nampotezea
 
Habari wakuu,
Hapa nakusudia mwanamke mwenye mtoto ambaye si wako, Mtoto ambaye kwa kiasi kikubwa bado anahitaji ukaribu na mama yake.

Nimeshuhudia ndoa ya Jirani yangu ikiyumba baada ya mtoto wa miaka takribani miwili na nusu au mitatu Kuletwa nyumbani na mkewe kwani wamekaa wastani wa miezi 3 bila ya mtoto huyo kuwepo.

Tatizo ninaloliona ni utundu wa huyo mtoto ambao wakati mwingine unasababishwa na kudekezwa na mama yake.

Mfano siku moja aliiburuza chini Iphone ya baba yake mlezi, akafokewa na baba huyo, Jambo hilo lilisababisha mama akasirike kwa madai kuwa baba hampendi mtoto.

Je changamoto gani nyingine za kuoa mwanamke mwenye mtoto mdogo?

Baba wa mtoto amefariki?
Kama ni mzima atarndelea kupasha kiporo kwa hiyo jiandae kisaikolojia kabisa!
Ni wanawake wachache sana wanaoweza kuwakatalia mbususu wazazi wenzao!
Jiandae kulazimishwa kumhudumia mtoto kama vile wewe ndio uliyechangia mbegu na kumpenda kilazima!
Mapenzi yote na akili zote za mama zinakuwa kwa mtoto sio wewe!
Hivi kweli una shida gani mpaka uende kuparamia wanawake wenye watoto na uweke ndani?

Usiombe kukutwa na bwana pepsi!
 
Back
Top Bottom