KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Habari wakuu poleni na majukumu
Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu
Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana,
Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni simu yangu? Ama shida ni Nini?
Yeye Mdogo Wangu pia amejaribu lakini pia bado naye inamsumbua
Naomba Msaada kwa yeyote aliyeweza kufanikiwa ili aweze kutusaidia, maana deadline nayo sio mbali,
Natanguliza shukrani zangu za dhati