Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

Mkuu, barua vp sehemu ya SLP? Au wewe ulikuwa nayo?
1000200135.jpg
 
Hii system imekua na changamoto kubwa mno kusubmit vyeti vya taaluma na other qualification, hadi sasa inanigomea
 
Bila shaka tangazo hilo itabidi liongezwe muda kuondoa malalamiko haya
 
Bila shaka tangazo hilo itabidi liongezwe muda kuondoa malalamiko haya
Kweli kabisa maana siku kadhaa nyuma mtandao ulikua fresh kiasi pale kwenye kufetch matokeo ya kidato cha 4 ila kwa sasa hakuna kitu mtu unakesha na mtandao unatoka bilabila
 
Ko hapo tunafanyje sasa au itakuwa watu wengi wameshatuma
 
Back
Top Bottom