Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

Mambo bado yanagoma kwenye kuupload information za degree na watu wa diploma
Vp kuna aliefanikiwa??
Diploma kwa sasa hu upload vyeti bali unaingiza registration number tu kisha una fetch details zikija una confirm. Kwasasa wanaokwama ni wale wa fani za veta bado system hai display details zako wakiweka reg no.
 
Diploma ata level zingine zinagoma kwamfano watu wa afya ukiweka reg no mfumo haufanyo kazi ya kuleta taarifa za mtu na inaishia kwenye kuleta hii error (Missing Fields: Please fill in all required fields before proceeding!)
 
kama ni diploma wa afya pale kwenye education level chagua CERTIFICATE. Hata kwenye kuapply kama education level uliweka Diploma haitakuletea kuapply ile emergency medical assistant au nursing, inahitaji uwe ulichagua certificate hata kama una diploma
 
Kama mwanzo uli apply kupitia level ya form 4 naunataka kubadilisha unafanyaje
 
kama ni diploma wa afya pale kwenye education level chagua CERTIFICATE. Hata kwenye kuapply kama education level uliweka Diploma haitakuletea kuapply ile emergency medical assistant au nursing, inahitaji uwe ulichagua certificate hata kama una diploma
Ebana umenisanua asee bigUp sana kiongozii
 
Wakuu kwenye Other Qualifications nikiweka Details upande wa kusubmit ngoma inakataa

Pia Barua ya Ajira na Medicala Form zinawekwa wpai!?
 
Hiyo barua ya maombi ya kazi unaweka kwenye job application na medical form utaenda nayo siku ukichakuliwa kwenye usahili
 
Hiki kipengele ngoma inaload tu hadi nimechoka
wakuu nikiclick kwenye profile wananidirect nijaze NIN , nikijaza hzo namba wananiambia records not available. Nifanyeje wakuu? Natanguliza shukran
MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Found
 
Attachments

  • 20250304_004349.jpg
    20250304_004349.jpg
    492.2 KB · Views: 2
Hiki kipengele ngoma inaload tu hadi nimechoka

MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Found
Dah nipo nakomaa tokea asbh ngoma ni ngumu dadeq
 
Hiki kipengele ngoma inaload tu hadi nimechoka

MKUU hii sijiu waga wanavuta bange mimi nilihangaika sana hapo Mwanzo baadae ikakubali nikakomaa kila hatua jana nipo hatua ya mwisho kuapply kumbe unasubmit tena NIN inasema no records Found
Huku mbona ni mwanzoni kabisa maana ukisha kamilisha hapo huko mbele amna maswala ya NIDA tena
 
KAKA UKITAKA kuapply kazi unafanyaje naomba unielekeze Pleasee maana nimejaza vipengele vyote hatua ya mwisho inasema apply this Job kuna kipengele kinaomba Usubmit NIDA

NakuDM
 
kaka ukifanikiwa husisite kuleta hints hapa mkuu.
 
ukimaliza kuomba nafasi za ajira ya zimamoto inakuwaje ujuwe kam maombi yako yamefika
 
Back
Top Bottom