Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

Hapo kwenye kuadd education inagoma ila matokeo ishafetch vzr tu ya 4m4 na 6 sa kuadd upande wa bachelor inasumbua
Mkuu sijaona option ya kuattach cheti cha form 4 au ikishafetch matokeo ni jua kwa juu cheti wanakiona?
 
Mbona sioni sehemu ya kuattach fomu kutoka mganga mkuu
 
Mkuu sijaona option ya kuattach cheti cha form 4 au ikishafetch matokeo ni jua kwa juu cheti wanakiona?
Hiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7 MARCH
 
Hiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7

mimi inaniandikia hivi nikiwe vyeti vya chuo Missing Fields: Please fill in all required fields before proceeding!
 
Hapo ni kile Academic Qualifications upande taarifa za chuo hasa Diploma na Certificate ndio inasumbua ukichagua diploma/certificate haikuletee zile culums za kujaza Institutuon, Program,registration number etc. Hili bado programmer wao atakuwa analifanyia kazi.
 
Asante brother yani mbaka nimeombea form 4 sijui kama watarekebisha ili nibadilishe kuomba kwa kupitia diploma level
 
Hiyo ukitaka fanya, pdf ya barua yako ya maombi iunganishe na cheti cha kuzaliwa,medical form na hivyo vya secondary(Fanya kuvi merge kuwa file moja, barua yako ya maombi ndiyo iwe page no 1. WAMEONGEZA MUDA HADI TAR 7 MARCH
Sasa mkuu hivyo vyeti vingine ni lazima kuviweka au nikiamua ndo niviunganishe na application letter? Maana kwenye mfumo wameweka option ya application letter na barua ya utamblisho tu
 
Kwenye tangazo lao la ajira kwa waombaji wa form four vyeti na nyaraka walizotaja ni:
Cha kuzaliwa
Fomu ya siha njema.
Barua ya utambulisho kutoka afisa mtendaji kata/Mtaa/Kijiji. Jitahidi hivi uviweke ila kwa uzoefu wangu wa kufanya application za kuomba kazi ambatanisha hadi vya sekondari kama nilivyoelezea comment iliyopita: Vyote nilivyotaja viunganishe pamoja na barua yako ya maombi isipokuwa hiyo barua ya utambulisho ndio ina button yake maalumu ya pa kuiweka. Hakikisha barua ndio inakaa page ya 1.
 
Asante brother yani mbaka nimeombea form 4 sijui kama watarekebisha ili nibadilishe kuomba kwa kupitia diploma level
Kwa kuwa wameongeza muda hadi tarehe 7 machi ni vema ukavuta subira system ikae sawa uombe kwa fani yako sababu form four kawaida wanakuwa wengi mno ni vigumu kuvuka.
 
Mambo bado yanagoma kwenye kuupload information za degree na watu wa diploma
Vp kuna aliefanikiwa??
 
Back
Top Bottom