Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

Kweli kabisa maana siku kadhaa nyuma mtandao ulikua fresh kiasi pale kwenye kufetch matokeo ya kidato cha 4 ila kwa sasa hakuna kitu mtu unakesha na mtandao unatoka bilabila
Kweli kabisa sehemu ya fetch inazingua ata kwenye submit of other qualifications ni hivyo hivyo. Ukibahatika inakuwa ni kama zali, simu zao pia azipokelewi.
 
Mwenye shida ya kufanya maombi nicheki nikusaidie
 
Kuna dogo kanipa taarifa zake nimfanyie maombi Ila sasa mtandao....👐! Sijui nafasi zishajaa
 
Kweli kabisa sehemu ya fetch inazingua ata kwenye submit of other qualifications ni hivyo hivyo. Ukibahatika inakuwa ni kama zali, simu zao pia azipokelewi.
Nadhani tatizo sio mtandao, tatizo lipo kwenye mfumo nadhani kuna marekebisho walifanya ndio yanazuia kuvuta hizo taarifa, Nadhani watengenezaji wa mfumo wangeangalia shida iko wapi. Pia server zimezidiwa

1740688091785.png
 
View attachment 3252595
Sehemu ya personal information wameongeza sehemu ya namba ya NHIF sidhani kama kulikua na ulazima wa kuomba hiyo namba, upo sahihi nahisi kuna marekebisho walifanya matokeo yake ndo wameharibu mfumo mzima, yafaa watatue tatizo na kuongeza siku za maombi
 
Jamani sio Kwa ubaya huu Mfumo utanigombanisha na Familia hapankwenye Academic Qualification nimepambana siku 3 mfululizo ngomw inagoma leo imekubali nikafika kwenye kuconfirm and save inaload afu inaniletea

Internal Saver Error nimepambana hadi jasho la Meno hapa
 
Mbona wanafanya marekebisho siku zikiwa zimeisha?
 
Jamani sio Kwa ubaya huu Mfumo utanigombanisha na Familia hapankwenye Academic Qualification nimepambana siku 3 mfululizo ngomw inagoma leo imekubali nikafika kwenye kuconfirm and save inaload afu inaniletea

Internal Saver Error nimepambana hadi jasho la Meno hapa
Uliweza kuadd academic details leo usiku au?
 
Fanyeni kuendelea network Iko sawa
Bado kwenye Academic Qualifications kujaza taarifa za chuo ngazi ya Certificatw na Diploma haikubali na hata ku save vyeti haikubali kusubmit. Pia upande wa button ya ku apply bado haikubali kusubmit.
 
Jamani sio Kwa ubaya huu Mfumo utanigombanisha na Familia hapankwenye Academic Qualification nimepambana siku 3 mfululizo ngomw inagoma leo imekubali nikafika kwenye kuconfirm and save inaload afu inaniletea

Internal Saver Error nimepambana hadi jasho la Meno hapa
Mi nimefanikiwa mkuu kumwombea mdogo wangu tena asubuhi hii hii baada ya kukesha usiku kucha
 
Back
Top Bottom