Wanahitaji Nini na Nini?Usiku saa nane tuma maombi mtandao unakua poa
Kawaida server zao huwa zinakuwa busy wakati kama huu jaribu usiku kukiwa kumetuliaHabari wakuu poleni na majukumu
Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu
Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana,
Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni simu yangu? Ama shida ni Nini?
Yeye Mdogo Wangu pia amejaribu lakini pia bado naye inamsumbua
Naomba Msaada kwa yeyote aliyeweza kufanikiwa ili aweze kutusaidia, maana deadline nayo sio mbali,
Natanguliza shukrani zangu za dhati
mkuu umefanikiwa kuapply?Leo itakuwa assignment yangu hii, Nitakesha
Jaribu kutumia devices ambazo zina access kubwa kidgo ..mfano laptopWakuu nikifika kwenye academic qualification inaniletea hayo maandishi unexpected error occured toka asubuh mpaka saa 9 usiku hapa ninavoandika, mwenyee kujua shida inaweza kuwa nini View attachment 3249762
OkayJaribu kutumia devices ambazo zina access kubwa kidgo ..mfano laptop
vipi umefanikiwa au bado inakugomea bado?Wakuu nikifika kwenye academic qualification inaniletea hayo maandishi unexpected error occured toka asubuh mpaka saa 9 usiku hapa ninavoandika, mwenyee kujua shida inaweza kuwa nini View attachment 3249762
Bado mkuu nimebadili simi, nimetumia PC saa 8 usiku bado chengavipi umefanikiwa au bado inakugomea bado?
Mkuu umewezaje, mimi kwangu hapo kwenye kuweka academic qualifications nikijaza index namba na mwaka pale chini kweny fetch pana load then panaandika unexpected error occured kwako haikuleta hivi? au kuna kitu nakosea mimiNimefanikiwa kwa mbinde sana, e-GA wasaidieni Jeshi la Zimamoto Server zao zimezidiwa sana, bando lote linaisha kwa kuomba ajira [emoji26]View attachment 3250383
Ume update My Profile, zile habari za single cjui, disability n.kMkuu umewezaje, mimi kwangu hapo kwenye kuweka academic qualifications nikijaza index namba na mwaka pale chini kweny fetch pana load then panaandika unexpected error occured kwako haikuleta hivi? au kuna kitu nakosea mimi
Mkuu, barua vp sehemu ya SLP? Au wewe ulikuwa nayo?Nimefanikiwa kwa mbinde sana, e-GA wasaidieni Jeshi la Zimamoto Server zao zimezidiwa sana, bando lote linaisha kwa kuomba ajira π₯View attachment 3250383