Changamoto kubwa ya Yanga isiyosemwa na wachambuzi

Changamoto kubwa ya Yanga isiyosemwa na wachambuzi

Happy birthday Yanga .jpg
 
Unajua mpira, ni mashabiki wachache sana wanaoweza kuweka ushabiki pembeni wakasema ukweli.

"SIMBA BINGWA"
 
Yanga iko moto vile vile, wala hakuna kuleta mbambamba , hakuna kilichobadilika, shida ya Yanga ni moja tu, wachezaji hawapeani tena assist kwa sababu kila mmoja anataka kupata nafasi na jicho la kocha mpya
 
Hawakujifunza kwa simba ile ya mafather wengi hadi tulikuwa wanawaonea gele yanga that time Baada ya kusajili kwa sifa na mihemko wamerudi kule alipokuwa simba hadi msemaji wao kaongea
 

Attachments

  • 6d6791b6-86ef-4ab2-8a9d-c799f0e5209d.jpeg
    6d6791b6-86ef-4ab2-8a9d-c799f0e5209d.jpeg
    81.4 KB · Views: 3
Umesema ukweli, Yao hana mbadala kule upande wa kulia. Huyu Boka ana shida kidogo kwenye timing yake ya kufanya tackling huwa anaongia kwa pupa na kucheza rafu, lakini nimemwangalia mechi za hapa mwishoni anaonekana ana-improve.

Viungo washambuliaji kumiliki mpira hakuna tatizo kumbuka ilo ndio eneo ambalo linabeba ubora wa yanga hata uko CAF timu nyingi zikikutana na yanga zinapaki basi. Tatizo kubwa pale mbele hatujapata mbadala wa kuvaa viatu vya mayele.
 
Back
Top Bottom