Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Yani comment imajaa kila.idara...one at pa
Sasa unadhani aucho analingana na Kagoma?? Umri, Kasi na kujituma uwanjani..... Achilia mbali pumzi na majeraha Kagoma ni habari nyingine. Atauzwa ghali nje ya Tanzania msimu mmoja au miwili ijayo.Yaani Kagoma umlinganishe na Aucho? Aisee wewe jamaa