Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....
Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?