Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
naongeza na TRA,AJIRA PORTAL,TAMISEMI NA CCMungemuuliza mwigulu na mama anaupiga mwingi ilo swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naongeza na TRA,AJIRA PORTAL,TAMISEMI NA CCMungemuuliza mwigulu na mama anaupiga mwingi ilo swali
🤣🤣uko technical sasa,mkuu ndio hizo hizo, ukizichambua utakuta ndio hizo hizo.
tuanze na:
1. Land alienation, ukioa hata nyumba uliyoipambania pekee yako siku unaniacha mtagawana, unanyang'anywa cha kwako, uhuru wako unapokuwa
2. Forced labour
unakuwa subjected kuhakikisha unaprovide mahitaji yake utake usitake awe na hela asiwe na hela, lakini pia utawajibika kumridhisha kingono maana ukishindwa hapo utasaidiwa inauma sana.
3. Exploitation
kataa ndoa gang wamesimamia hapa
mkuu ukitafakari kwa kina point ni hizo hizo 😂😂😂😂
UNAWEZA UKAJAMBA BILA KUSHIBA KWELI? AU WAJAMBE HEWA. PESA HAKUNA MAISHA HAKUNA HIZO NDOA ZINATOKAJEyeye si ana mke na watoto tena moja ni kiongozi mwandamizi wa chipkizi CCM 🐒
point ni hizo hizo mkuu mengine mbwembwe🤣🤣uko technical sasa,
kumbe ndivyo mambo yalivyo mazito na magumu kiasi hicho na mmekaa kimya tu? aise...!
Kataa ndoa, ndoa ni kamari.....Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....
Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
4.Taxation: ndo mahari sasa vijana wanaogopa kukutwa na kitu kizito huko ukweni🤣🤣uko technical sasa,
kumbe ndivyo mambo yalivyo mazito na magumu kiasi hicho na mmekaa kimya tu? aise...!
anakula unachokila wewe....Hatuna pesa mkuu , yaan hali zetu ni mbaya nioe ili ale nini sasa , ukioa wewe inatosha mkuu.
Hizo tuhuma nzito kutaka tigoMImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake ndoa hawana mpango wakuolewa .
Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa
Acha bas😀😀😀😀😀!?MImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake ndoa hawana mpango wakuolewa .
Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa
Naam hasa hiyo point namba 3. Ndoa ni Exploitation kwa mwanaume.KATAA NDOAmkuu ndio hizo hizo, ukizichambua utakuta ndio hizo hizo.
tuanze na:
1. Land alienation, ukioa hata nyumba uliyoipambania pekee yako siku unaniacha mtagawana, unanyang'anywa cha kwako, uhuru wako unapokuwa
2. Forced labour
unakuwa subjected kuhakikisha unaprovide mahitaji yake utake usitake awe na hela asiwe na hela, lakini pia utawajibika kumridhisha kingono maana ukishindwa hapo utasaidiwa inauma sana.
3. Exploitation
kataa ndoa gang wamesimamia hapa
mkuu ukitafakari kwa kina point ni hizo hizo 😂😂😂😂
😂😂😂😂oeni acheni kuwa viwanda vya kuzalisha Singo Maza, siku hizi unakutana na Singo Maza wa miaka 20 ni hatari sanaNaam hasa hiyo point namba 3. Ndoa ni Exploitation kwa mwanaume.KATAA NDOA
Kama una kipato Cha permanent and pensionable wewe OA..Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....
Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
dah umeongea kwa hisia kali uchungu mingi sana aise madam.MImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake ndoa hawana mpango wakuolewa .
Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa
Shida sio uchumi,ukizungumzia suala la uchumi nabisha.Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.