Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

MImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake ndoa hawana mpango wakuolewa .

Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa
Dada, kwani hutaki kutoa huko mwaikimba 😋 SweetyCandy
 
1. Land alienation
2. Forced labour
3. Exploitation
4. Destruction of culture
5. Taxation
*Poor transport & communication
*Low technology
*Lack of capital
*Low wages

😊😅
Na nyingine nyingine mtambuka

NB.
Hizi point tunajibiaga mitiani na huwezi kuzielewa mpaka yakukute ndio utazielewa..
 
😂😂😂😂😂hizo zote ni pointi, kinachohitajika ni relevance
kwa mfano:
poor Transport & communication wale wazee wa kutuma nauli wanaweza kutusaidia vizuri kufafanua hapa, kuna mwamba alileta malalamiko mke wake amechaguliwa kwenda nje ya nchi hii point anaweza itolea maelezo vizuri, kuna jamaa alisema huwa anaenda kulala kwa mke wa mtu kisa mumewe anasafir safir
 
Ni balaa
 
dah umeongea kwa hisia kali uchungu mingi sana aise madam.
inasikitisha sana 🐒

by the way,
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba mwanaume yeyote anaekuomba sundrundru eti afanye kitu kwenye kijambizi chako, hakupendi wala hataki uwe mchumba wala mke wake baadae...
in short hana future na wewe, he is just using u na atembee mbele mwendo wa ngiri 🐒

Jambo la Muhimu sana,
Mshirikishe Mungu nia yako ya kutafuta mwenza mwema wa maisha yako.
Halafu usijifungie ndani, nenda kwenye nyumba za ibada ukamuombe na kishiriki ibada na wengine, shiriki, jumuiya, mihadhara, seminar na warsha na vijana wenzako, yupo miongoni mwao anakutafita pia,

Nenda huko Mungu akawakutanishe na mfunge ndoa muanze maisha...
Mungu akubariki sana,

by the way,
unapatikana wap tafadhali mama 🐒
Kwa waarusha
 
Daah,sijui tunakoelekea.Hamna siku nikafungua JF nisikutane na mada za changamoto za ndoa.Mimi nadhani ni umagharibi tulioukopi kwa wamagharibi ambao wenyewe pia umewashinda.
Mambo ya 50-50,u feminist kwa kwenda mbele.Mimi nakumbuka boss wangu katika kampuni mojawapo ya uhandisi wa barabara kutoka Denmark,alioa mwanamke wa kiafrica,sura na shepu ya hovyo tu.
Hii yote ni baada ya majanga yaliyompata kwao Denmark baada ya ugomvi na aliyekuwa mkewe,mzungu mwenzake.
Jambo lilipelekwa mahakamani,mahakama ikaamua kumnyang'anya,nyumba,magari na kampuni yake pamoja na kupigwa marufuku ya hata kuonana na watoto wake.Kama hatujafikia hii hatua,basi ndo tunakoelekea.
 
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.

Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....

Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
Kwani wewe umeolewa?
 
Daah,sijui tunakoelekea.Hamna siku nikafungua JF nisikutane na mada za changamoto za ndoa.Mimi nadhani ni umagharibi tulioukopi kwa wamagharibi ambao wenyewe pia umewashinda.
Mambo ya 50-50,u feminist kwa kwenda mbele.Mimi nakumbuka boss wangu katika kampuni mojawapo ya uhandisi wa barabara kutoka Denmark,alioa mwanamke wa kiafrica,sura na shepu ya hovyo tu.
Hii yote ni baada ya majanga yaliyompata kwao Denmark baada ya ugomvi na aliyekuwa mkewe,mzungu mwenzake.
Jambo lilipelekwa mahakamani,mahakama ikaamua kumnyang'anya,nyumba,magari na kampuni yake pamoja na kupigwa marufuku ya hata kuonana na watoto wake.Kama hatujafikia hii hatua,basi ndo tunakoelekea.
Suluhisho ni kuepuka NDOA
 
Tatizo kubwa lipo kwa wanaume maana wanawake wenyewe wanategemea kuambiwa na mwanaume but baadhi ya sababu ni:-
Urahisi wa upatikanaji wa huduma, imekuwa rahisi Sana kupata mwanamke bila kujali wa muda mfupi au mrefu.
Kipato duni, kutokana na mazingira ya sasa wanaume wengi wanapenda kuoa baada ya kupata msimamo wa maisha yao.
Kupenda ngono kuliko ndoa, nowadays utasikia dada anasema hataki kabisa kuolewa lakini analiwa utamu the same applied kwa kaka hataki kuoa ila anakula tu utamu.
Mwingiliano wa watu, dunia imekuwa kijiji watu wamepoteza maadili, mila na desturi hivyo kufanya prostitutions kuwa ni sifa ya kila kabila.
Ongeza........
 
aise,
wanaharakti wa haki sawa soon, watatangaza ushindi sasa, kwamba wanawake wasio olewa ni sawa na wanaume wasio oa tu, dah 🐒
 
Daah,sijui tunakoelekea.Hamna siku nikafungua JF nisikutane na mada za changamoto za ndoa.Mimi nadhani ni umagharibi tulioukopi kwa wamagharibi ambao wenyewe pia umewashinda.
Mambo ya 50-50,u feminist kwa kwenda mbele.Mimi nakumbuka boss wangu katika kampuni mojawapo ya uhandisi wa barabara kutoka Denmark,alioa mwanamke wa kiafrica,sura na shepu ya hovyo tu.
Hii yote ni baada ya majanga yaliyompata kwao Denmark baada ya ugomvi na aliyekuwa mkewe,mzungu mwenzake.
Jambo lilipelekwa mahakamani,mahakama ikaamua kumnyang'anya,nyumba,magari na kampuni yake pamoja na kupigwa marufuku ya hata kuonana na watoto wake.Kama hatujafikia hii hatua,basi ndo tunakoelekea.
dah,
ndio maana nasema wanaharakti wa 50/50 soon watatangaza ushindi wa usawa kati ya wanaume wasio oa na wanawake wasio olewa wako idadi sawa dah....

miongoni mwa athari zitakazokuja kutokea ni pamoja na uhaba wa nguvu kazi , kwasabu hawatazaliwa.....

Lakini pia kutakua na idadi kubwa ya wazee tegemezi waliokosa walezi, coz hawana watoto wa kuwalea, ndugu zao pia watakua ni wazee hakuna wa kumsaidia mwingine 🐒
 
Back
Top Bottom