Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wanao oa nawashangaa sana mkuu....🙄Umeambiwa ukioa wewe Inatosha 😂
Kwanza ndoa ni uhaini...☹️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanao oa nawashangaa sana mkuu....🙄Umeambiwa ukioa wewe Inatosha 😂
so,Shida sio uchumi,ukizungumzia suala la uchumi nabisha.
Maana kuna ninaowafahamu wana uchumi mkubwa ili ukimgusia kuoa aisee ni kama umemwambia twende vitani.
Sababu kuu nizionazo mimi ni kama ifuatavyo;
1)Kutokufahamu ni nini maana ya ndoa,watu wengi siku hizi hawafahamu maana na faida ama kwanini wanatakiwa kuoa ama kuolewa.
Ndio maana kuna wengine wanachukulia ndoa kama kitega uchumi,wengine kificha maovu n.k n.k
2)Mmomonyoko wa maadili uliochagizwa na UTANDAWAZI ambao umesababisha jinsia zote mbili hasa wanawake kusahau majukumu yao kamili katika jamii,si wanawake wala wanaume wote wamejisahau katika jamii wao wana jukumu gani.Na moja ya huo utandawazi ni FEMINISM na masuala ya UHURU WA KIJINSIA.
Sababu kuu zinatoka hapa.
Kama watu wangelifahamu maana ya ndoa basi wangelioa sana tu.
Kama kusingelikua na mmomonyoko wa maadili uliochagizwa na utandawazi jinsia zote mbili zisingelisahau majukumu yao ya kijamii hata kiduchu,basi watu wangelioana sana tu.
Ndio kaka.so,
you mean that ,
elimu ya mahusiana na uchumba ni Tatizo,
Lakini pia uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala ya maana, umuhimu na faida za ndoa ni changamoto kubwa pia inawafanya wengi waogope kuingia huko, right?🐒
jimbo lipo wazi 🙂🙂🙂MImi sijafika 40 ila kiukweli ni wanaume walivyo hawajui wanataka nini kingine , hatujiamini kisa wao , ukija mapenzi wanataka tigo kinyume na maumbile , jingine wanapenda wanawake ndoa hawana mpango wakuolewa .
Wanawake tumekata tamaa tupo tu . Tunaogopa hata kufanya mapenzi maana hujui anakuonaje , je wewe niwakupita tu, au wakudumu hata mkidumu bado haeleweki mie nimewachoka kabisa nipo single nafurahia . Ila akitokea wakunioa naolewa
sure,Ndio kaka.
Hilo ndio tatizo moja wapo,nakumbuka wazee wetu walikua wanasema kabla hawajaoa ama kuolewa walikua wakizungumza na wazee wao(babu na bibi zetu) wakiwaeleza jukumu la kijamii kwa mwanaume na mwanamke lipoje,pia ni nini maana ya ndoa,faida za ndoa,changamoto za ndoa na namna ya kuiendesha ndoa pia namna ya kutatua changamoto za ndoa.
Aya nambie hilo linafanyika kwa sasa!?
Utandawazi umeharibu vichwa kiasi tukasahau namna ya kupata mafunzo kwa wazee wetu ya kijamii.
😂😂😂😂😂Mkuu kama hujafanya tafiti wanawake ndio wanapendelea zaidi huo mchezo.na halafu hata nyie wanaume vijana kupendelea sundrundru za wadada na kupat hamu ya kuharibu vijambizi vyao mmeitoa wapi aise ndrugo zango mafirauni wakubwa nyiie???🐒
1. Land alienation
2. Forced labour
3. Exploitation
4. Destruction of culture
5. Taxation
Ndio maana mkuu unakuta vijana wa siku hizi busara/hekima hawana ndio maana wanashindwa kuhimili ndoa wanajionea mateso,pia wanawake wa siku hizi staha za maneno na matendo hawana,ndio maana wanajionea ndoa utumwa na kubanwa.sure,
nadhan hicho ndicho chanzo kikibwa cha wengi wa vijana kuogopa na kua na hofu ya kuingia kwenye ndoa, dah 🐒
Capital scarcity/financial instability sio kipimo hasa.6. Lack of Money
kwahiyo ni wao ndio wanachochea vijana wanaume kutamani sundrundru na kujiingiza kwenye ufirauni dah?😂😂😂😂😂Mkuu kama hujafanya tafiti wanawake ndio wanapendelea zaidi huo mchezo.
Katika wanawake 10 wa sasa 6 nzima wanapendelea hilo.
Wasingetuzoesha tusingezoea mkuu.
😁😁😁😁Mnalazimisha sana mkuu , mbona mambo ya kupata vibunda hamtulazimishi kama ndoa?anakula unachokila wewe....
ukinywa maji si unamuona kwenye glass?
na ukilala si haupati usingizi,
elezaneni Ukweli basi kwamba sina pesa, wanawake wengine waelewa wana moyo wanaweza kuamua kutoa pesa zao na ndoa ikafanyika, hii nayo labda wanaume wa kataa ndoa hamtaki?🐒
Wajinga ndo waliwao. Wanawake ni wajinga sometimes mmekutana tu mmetengeza urafiki yeye kiherehere anatega mimba ili eti umuoe hahahaha ndo wanapigwa na vitu vizito sasa . Mimi siku zote nasema mwanamke kuwa single mother anajitakia mwenyewe labda kwa wale ambao waliolewa na ndoa zikasumbua ila hawa wengine wameyataka wenyewe😂😂😂😂oeni acheni kuwa viwanda vya kuzalisha Singo Maza, siku hizi unakutana na Singo Maza wa miaka 20 ni hatari sana
hatutaacha kuhimizana na kulazimishana, kuzidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji wa kila moja wetu ni nguvu zako mwenyewe 🐒😁😁😁😁Mnalazimisha sana mkuu , mbona mambo ya kupata vibunda hamtulazimishi kama ndoa?
Simo mimi kwenye hizo tuhumana halafu hata nyie wanaume vijana kupendelea sundrundru za wadada na kupat hamu ya kuharibu vijambizi vyao mmeitoa wapi aise ndrugo zango mafirauni wakubwa nyiie???🐒