Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

Tatizo ni moja naona au mawili
Kwanza zamani watu walikuwa hawavuki mipaka yao sana
Yaani wanakuwa nyumbani karibu na wazazi na ndugu na kuwashawishi kuoa/kuolewa na hata kuwatafutia watu wema wanaoona ni bora kwao

Ila baada ya watu kuanza kuhama sehemu zao, wengi wamekuwa na uhuru wa kufanya wanachotaka kama kuwa na wapenzi na kubadilisha kama nguo

Sasa watu kama hao kuwashawishi waoe/waolewe ni ngumu sana maana wanaona wote ni hali moja hata akiweka au kuwekwa ndani
Hawana imani tena na watu kisa wanatembea hovyo

La pili unakuta wengi wamehamia mijini na maisha ni magumu amekodi kichumba na hawezi kukidhi maisha yake
Kwa hiyo anaona akioa ndio kabisa ( fikra muflis)
Hajui kila mmoja anakuja na bahati yake
Nimeona wengi wamekuwa na maisha mazuri baada ya kushirikiana au kuwa na mke kwani atajituma zaidi kuliko akiwa Batchelor

Hayo ni maoni yangu ukiyakataa una haki pia
 
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.

Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....

Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
Sababu ni zile zile
Lack of capital....mbususu zimepanda bei.
Availability of mbususu pasipo kitongoza
 
Sasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.

Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....

Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
Ukiona mwanaume anasema ndoa si kipaumbele chake basi ni either bado hajasimama kiuchumi au hajapata mwanamke anaeaona ni sahihi kumuoa. Ukiona mwanamke anasema ndoa sio kipaumebele chake maana yake bado anahitaji uhuru wa kuendelea kufanya anasa na kuwa na mahusiano mengi bila kubanwa.
 
Wamejijengea uwoga ,kutkana Na Mifano ya wanandoa wengi kuachana.
 
Ukiona mwanaume anasema ndoa si kipaumbele chake basi ni either bado hajasimama kiuchumi au hajapata mwanamke anaeaona ni sahihi kumuoa. Ukiona mwanamke anasema ndoa sio kipaumebele chake maana yake bado anahitaji uhuru wa kuendelea kufanya anasa na kuwa na mahusiano mengi bila kubanwa.
Possibly kabisa 🐒
 
Kabisa, mnabanduana hovyo mpa vinyeo mara kusagana, mnatukata stim.
nawasikitikia vijana wa kiume wanaotamani sundrundru za wadada na vijana wa kike wanaokubali kuingiliwa kwenye vijambizi vyao dah 🐒

hiyo ni hatua mbaya sana ya ufirauni na kujikatia tamaa.
Mwenyezi Mungu awaepushe vijana na mazingira hayo...
 
Amina, Kawashauri wenzio waache kutuharibia jamii bhana.
 
Binafsi ninaona kuna mifumo mbalimbali ambazo tumejengewa haswa kwenye dini,serekali kwa maana ya mfumo wa elimu,jamii vilevile,ambazo zinamfanya kijana apoteze muda mwingi bila kutafakari maisha ya kujitegemea hivyo mpaka awe na umri wa miaka 25+ hapo aanze kujitafta anajikuta yupo 30 kuendelea hali hii ya ukata anajikuta ameshajikatia tamaa kwasababu alichowekeza"mfano elimu"mda huwo hajaona manufaa yake hivyo akili na saikolojia inajenga uwoga wa maisha,ukizingatia maisha ya sikuizi kila kitu ni garama haswa kwa dada zetu
 
point nyingine nzito na ya maana sana hiyo ya muda mwingi shule 👊💪

shukran sana
 
Back
Top Bottom