Shida IPO kuanzia kwny mifumo ya maisha. Hatuna mifumo sahihi inayomuandaa kijna kufika umri flani awe tayri kaoa kuanzia masuala ya kiuchumi..mfno Anglia wenzetu nchi za mbele kjana umri miaka 20+tayari ana mke na mtoto kwakuwa waliandliwa mifumo kuanzia wadogo ya kiuchumi na kujitgemea kuanzia akiwa na miaka 18 tu. Hiyo ni tofauti na sisi hukuSasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.
Na ukiwaangalia ama kuzungumza nao kuhusu kuoa au kuolewa, wanasema wazi wazi kabisa kwamba, jambo hilo bado sio kipaumbele, na haifahamiki kipaumbele kwenye maisha yao nini, mwingine hana mtoto, hana gari, wala koploti cha ardhi, sasa sifahamu kipaumbele chao huwa ni nini na watatimiza lini wakiwa pekeyao ama la....
Ni kipi hasa kikwazo cha watu hawa kujizuia kuoa au kuolewa mapema?
Kwa hiyo wewe unashauri Nini kuhusu hili la watu kuchelewa kuoa na kuolewa?Points ni zile zile
Uhuni umekuwa wa kutosha....sio jinsia KE sio jinsia ME,kila mtu hamuamini mwenzake(Hofu ya kugongewa)
Upatikanaji wa urahisi wa huduma,wenyewe mnasema kama maziwa unapata kwanini ununue ng'ombe mzima
Kwa hiyo wewe unashauri Nini kuhusu hili la watu kuchelewa kuoa na kuolewa?
Waishi tu
Maisha ndio haya haya
Basi sawaπWaishi tu
Maisha ndio haya haya
Kabisa mkuuπkauli mbiu ya kataa ndoa sio π
mkuu ndio hizo hizo, ukizichambua utakuta ndio hizo hizo.gentleman,
sijauliza causes of maji maji war of 1905-1907π€
ungemuuliza mwigulu na mama anaupiga mwingi ilo swaliSasa hivi watu wengi, wake kwa waume wenye umri wa kati ya miaka 40 na 50 bado hawajaoa wala kuolewa.