Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Alikuambia naniNo. Najua...
Labda umesahau kama najua tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuambia naniNo. Najua...
Labda umesahau kama najua tu...
Haya.Hakuna shoga yangu anayeweza kukuambia kuhusu mimi l
Wewe unataka nini?Haya.
Kama nikikuambia nikapatia unaniahidi nini?
Nipe optionsWewe unataka nini?
Ko wanabet eti umenichekesha japo umeongea kweliUmala.ya tu unawasumbua, na hivi wamezoea kubeti shida tupu
Huyu huyu zeshchriss ?? Unamuita haji??Jamaa anajiamini, then nilikuita + kukupigia hukurespond Wala hukuja nilipokuelekeza
Hata avatar Haoni??Tafaadhali usibadilishe gender yangu
Aisee wewe ndio unipe options nijue utafurahi ukipewa niniNipe options
Hapana sio suala la uumbaji, sina tatizo na wanaume wafupi ila ule unene na lijitambi lile sio kabisaa. Ufupi ni uumbaji wa Mungu ila vitambi na unene ni uumbaji wa binadamu.🤣🤣🤣🤣🤣duh usikufuru uumbaji we dada
Well yawezekana haikuwa aproach nzuri ila ndio suluhisho lililokuja kichwani kwa wakati huoWell, naamini ukikosea, huenda hiyo approach uliyotumia uliona inafaa, na kweli ilifaa coz you got rid of him instantly. Lakini as a friend wala hukuwa na sababu ya kumfungia vioo, ilikuwa mapema mno kufanya hivyo. Ungemwambia tu kuwa upo occupied na mambo yako, huhitaji urafiki nae kwa mda huo.
Binafsi datings zangu nyingi zimeanzia kwenye social networks, ila niliamini katika uwazi na kumwambia mtu jinsi ninavyojisikia kwake, atakavyonichukulia ni sawa tu coz that's my choice.
How old are you pal?Ok, Ila kusema ukweli huyo mrembo wa kwenye hiyo avatar yako ni mkali vibaya sana unaweza ukajikuta unahonga nyumba na gari.
Alafu mimi sikomi jamani, baada ya huyo nikapata mwingine kwenye mtandao fulani. Tuliwasiliana kama miezi 9, katika kipindi hiki cha kuwasiliana baby baby kwa sanaa, jamaa ikawa kama amefall hivi(not sure) mie i was cautious maana yasije nikuta yale ya mwanzo. Jamaa alikuwa wa kawaida tu kwenye pics hata kwenye video calls.Well mwaka juzi nilisajili line ya mtandao fulani, sasa nafikiri ni namba iliyokuwa inatumiwa na mtu kabla yangu then ikarudishwa kwenye system. Kuna siku mwanaume akapiga akimuulizia mwenye alikuwa na hiyo namba kabla yangu. Nikamwambia mie ndio mwenye namba na simtambui mtu huyo. Alisisitiza sana kuwa namba anayo kaisave kwa simu yake ila ni kitambo kidogo hajawasiliana nae.
Nilimwelewesha baadae akanielewa na ukawa mwanzo wa mawasiliano. Tukafahamiana majina na mambo mengine, to cut the long stor short baadae tukapanga kuonana. Kwenye picha alionekana mrefu na mwili wa wastani ukijumlisha na bonge la sauti ya kiume nikasema YES.
Sasa siku ya kuonana nae sikuamini nikahisi ni mtu mwingine kaja, jamaa ni kafupiiii, kanenee, kitambi kama gunia. Nilijikaza sikuonyesha kushtuka sana. Alifurahi kweli, tukapiga story,tukala na kunywa then tukaagana kuwa tungeonana siku inayofuata. Mungu anisamehe nilizima simu na sikuitumia tena ile line.
Pole jombaaMi juzi nimeopoa kimeo kimoja toka Tinder, aisee ukiangalia picha zake alizoweka kule ni balaa, alipokuja live kidogo nilie, kweli sura ni yake ila umbile sasa, kama dwarf sasa sijui aliekua anampiga picha alikua anafanya maksudi au lah.
Niishia kumlipia nauli arudi kwao maana hata mzuka ulikata ghafla.
MkùuWe mxng umetisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am 26 years old, is there any problem pal?How old are you pal?