Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Aaaa aaaa.Nilikutana na chombo wakati huo nikiwa kijana pichani mtu wa maana. Tulipoonana, demu ni mfupi ingawa si sana na mnene. Yaani alivaa shanga lakini pale kiunoni akilala chali hqzionekani sababu ya minyama uzembe.
Sura ni yenyewe ila umbo dah. Mi napenda wanawake warefu wembamba. Mbaya zaidi ananuka mdomo. Nilimla kwa tabu asubuhi huyooo ndukii.