Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Hata serikali wakati mwingine huwa inafanya uwekezaji wa hasara. Kwajifunze kukabiliana na hali mbalimbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heeeh.. kwani tumeachana lini mbona una babe mwingine?
😂😂😂😂😂 we ndio bebi wa kumoyo, usipagawe na maneno ya kizushi wengine tia maji tia maji tu. Af unajua deep venye nakufeel msupu wangu!
 
Dah! Niliwahi kukutana mtandaoni na mrembo 2017, tukapanga kuonana akapanda basi hadi nilipo.

Cha ajabu hakufanana na picha alizonitumia. Nilipomuuliza hakuwa na jibu sahihi, akabaki anacheka tu!

Nililipia lodge, chakula na nauli yake alojia nilimrudishia pia. Nilipiga naye show hadi saa 3 usiku, nikazuga nimeitwa kazini na boss. Nikaenda kulala zangu geto kwangu.

Kesho yake asubuhi alinipigia tukamalizie show, nikamwambia nitachelewa, tukutane stendi ili tuagane. Tukaonana stendi nikampatia pia nauli na matumizi ya njiani akarudi mkoani kwao.

Mawasiliano yalikuwa hafifu sana hadi akaniuliza why?
Au kwakuwa alinitumia picha fake?

Nawasihi ke, ukiamua kutuma picha tuma picha sahihi ili ukipendwa upendwe kweli.
Wanaume tunapenda sura na umbo, tabia zinafuata baadae.
Hahahahahah
Mkuu tabia ni muhimu kuwa nzuri, but hayajakukuta
 
Hivi kwanini mtu u act.

Why tu usijiamini. Harafu wasilolijua huwa tuna appreciate sana mtu anayejiamini. Kuna viti vingi vinaweza pelekea mtu akupende. Si lazima uact
Sio acting mkuu ni strategies tu, which means kila aina ya chick kuna strategies zake ambazo wazee wakazi tunazitumia, bila hivo hizi papuchi utaendelea kuziona kwa wanyama wa kufuga tu na kuvizia watoto wanaoogeshwa nje.
 
Back
Top Bottom