Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

Well mwaka juzi nilisajili line ya mtandao fulani, sasa nafikiri ni namba iliyokuwa inatumiwa na mtu kabla yangu then ikarudishwa kwenye system. Kuna siku mwanaume akapiga akimuulizia mwenye alikuwa na hiyo namba kabla yangu. Nikamwambia mie ndio mwenye namba na simtambui mtu huyo. Alisisitiza sana kuwa namba anayo kaisave kwa simu yake ila ni kitambo kidogo hajawasiliana nae.

Nilimwelewesha baadae akanielewa na ukawa mwanzo wa mawasiliano. Tukafahamiana majina na mambo mengine, to cut the long stor short baadae tukapanga kuonana. Kwenye picha alionekana mrefu na mwili wa wastani ukijumlisha na bonge la sauti ya kiume nikasema YES.

Sasa siku ya kuonana nae sikuamini nikahisi ni mtu mwingine kaja, jamaa ni kafupiiii, kanenee, kitambi kama gunia. Nilijikaza sikuonyesha kushtuka sana. Alifurahi kweli, tukapiga story,tukala na kunywa then tukaagana kuwa tungeonana siku inayofuata. Mungu anisamehe nilizima simu na sikuitumia tena ile line.
😀😀😀
 
Duuh nilishawahi kukutana nachangamoto kama hizo Ila nilifaidi cz alikuwa bado alikuwa jikira
 
Dah! Niliwahi kukutana mtandaoni na mrembo 2017, tukapanga kuonana akapanda basi hadi nilipo.

Cha ajabu hakufanana na picha alizonitumia. Nilipomuuliza hakuwa na jibu sahihi, akabaki anacheka tu!

Nililipia lodge, chakula na nauli yake alojia nilimrudishia pia. Nilipiga naye show hadi saa 3 usiku, nikazuga nimeitwa kazini na boss. Nikaenda kulala zangu geto kwangu.

Kesho yake asubuhi alinipigia tukamalizie show, nikamwambia nitachelewa, tukutane stendi ili tuagane. Tukaonana stendi nikampatia pia nauli na matumizi ya njiani akarudi mkoani kwao.

Mawasiliano yalikuwa hafifu sana hadi akaniuliza why?
Au kwakuwa alinitumia picha fake?

Nawasihi ke, ukiamua kutuma picha tuma picha sahihi ili ukipendwa upendwe kweli.
Wanaume tunapenda sura na umbo, tabia zinafuata baadae.
Bora wewe ulifanya utu
 
Mkuu wewe unakutana na wamama. Mimi cha kwanza mwanamke namuuliza unaishi kwako au kwenu. Akisema kwangu huyo huyo disqualified. Mwanamke akiwa kwake ujue bills zote za nyumbani unabeba wewe na nyingine tena, wa kazi gani huyo. Labda awe mzuri sana alafu napiga siku moja natoweka mazima.
Tunatake note
 
Afadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza
Utashangaa mtu hajawahi kukuona, avatar umeweka sio wewe lakini bado anakutongoza.
Ngoja niwarahisishie

1. Mzoee mtu hata kama lengo lako kumtongoza
2. Mkishazoeana mtahamia kwingine ambako kwa kuwa anakuchukulia rafiki hatafake hats kama ni picha zitakua ni yeye
3. Ukiona amekidhi vigezo sasa funguka

Hii tongoza tongoza IPO siku watakuja kutongoza wanaume wenzao mi nawaangaliaga tu
 
Well mwaka juzi nilisajili line ya mtandao fulani, sasa nafikiri ni namba iliyokuwa inatumiwa na mtu kabla yangu then ikarudishwa kwenye system. Kuna siku mwanaume akapiga akimuulizia mwenye alikuwa na hiyo namba kabla yangu. Nikamwambia mie ndio mwenye namba na simtambui mtu huyo. Alisisitiza sana kuwa namba anayo kaisave kwa simu yake ila ni kitambo kidogo hajawasiliana nae.

Nilimwelewesha baadae akanielewa na ukawa mwanzo wa mawasiliano. Tukafahamiana majina na mambo mengine, to cut the long stor short baadae tukapanga kuonana. Kwenye picha alionekana mrefu na mwili wa wastani ukijumlisha na bonge la sauti ya kiume nikasema YES.

Sasa siku ya kuonana nae sikuamini nikahisi ni mtu mwingine kaja, jamaa ni kafupiiii, kanenee, kitambi kama gunia. Nilijikaza sikuonyesha kushtuka sana. Alifurahi kweli, tukapiga story,tukala na kunywa then tukaagana kuwa tungeonana siku inayofuata. Mungu anisamehe nilizima simu na sikuitumia tena ile line.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji852]
 
Mimi niliwahi kutongoza fb kwa mara ya kwanza dem sikumuelewa kiviile.
Jambo lilianza February hii ya majuzi wazee ,kama kawaida mafisi walivyo nikazama gallery kwa mtoto kuchek picha zake ili nijiridhishe ah hazikuwa na mvuto infact dem nilimuona low class,nakuja kwenye chart sasa hapo ndo alinipa Mood ya kukutana nae baada ya kuniambia kwao Mikocheni namimi Mbezi nikaona wa karibu huuuyooo bear in mind "out of sight out of mind".
Kwenye mazungumzo ya hapa na pale tunapanga appointment sasa.....the process took about 2months almost. Finally ni jaana hii wadau jana hii mbichi Pisi inatimba maskani ebwanae sikuamini macho yangu mpaka ilibidi nijishtukie pale nilipo kuhisi labda manzi angeni underrate since alikuwa pini kishenzi, mdogo mdogo,curves imesimama daaah mwanaume ilinibidi ni extend budget bila kujishauri mara mbili mbili.
The Good news is the lady loves me so much and she appreciate the way natural I look from the photos to the really life.
I probably gonna let you know what will happen huko mbele kama ni ndoa au ndoano.
Nakuombeeni iwe ndoa
 
mim nilipata bint flan hvi alikua wakawaida sana au naweza kusema mbaya kabisa ila nikaona haina noma,,nikamtongoza na safar ikaanza baada ya cku mbili tatu nikamwambia tuonane akaja maeneo nilipo cha ajabu kumbe alikua ni mzuri mrembo sana tofaut na alivyo kwenye mtandao mpaka nikaogopa ila nilikuja kumpoteza baadae kwa sababu niliona amenizid umri kwa tofaut ya miaka 7 ila kimuonekano alikua kama bint wa miaka 18 na mim nina mwili mkubwa kumzidi yeye so kwa macho huwez ona tofauti yetu,,ila nili enjoy sana kuwa na yule mdada sijui yupo wap sikuhzi
 
Back
Top Bottom