Changamoto tunazokutana nazo tunaotongoza wanawake mitandaoni, jamani wanawake hawajiamini kabisa.

🤣🤣🤣🤣🤣duh usikufuru uumbaji we dada
Hapana sio suala la uumbaji, sina tatizo na wanaume wafupi ila ule unene na lijitambi lile sio kabisaa. Ufupi ni uumbaji wa Mungu ila vitambi na unene ni uumbaji wa binadamu.
 
Well yawezekana haikuwa aproach nzuri ila ndio suluhisho lililokuja kichwani kwa wakati huo
 
siku moja mtwara nikakamata manzi mmoja badoo... nikamwambia njoo lodge fulan chumba namba fulan, yeleewi hakyanan alipoingia room nilitamani dunia INIMESE... Dem ni bonge hadi alipovua kavaa pichu haifiki kiunoni. Nilikoma
 
Alafu mimi sikomi jamani, baada ya huyo nikapata mwingine kwenye mtandao fulani. Tuliwasiliana kama miezi 9, katika kipindi hiki cha kuwasiliana baby baby kwa sanaa, jamaa ikawa kama amefall hivi(not sure) mie i was cautious maana yasije nikuta yale ya mwanzo. Jamaa alikuwa wa kawaida tu kwenye pics hata kwenye video calls.

Kwa kipindi chote hicho nilipiga chenga sana kuonana nae, ukishaumwa na nyoka hata jani unashtuka. Well nikapata safari ya kikazi kwenda alipo hapo sikuwa na namna ikabidi nionane nae. Lahaula lakwata, siku naonana nae this time nikapatwa na lile butwa la "wow" jamaa kwanza kapanda, black fulani hivi, handsome, mwili wa kiume.......

Nikajikuta najishtukia maana picha niloijenga haikuwa alivyo hadi nikakosa comfidence.
Well piga story sana na kudanganyana hapo mambo mengi then kila mtu akasepa. Kesho yake nilikuwa nasafiri, akaomba sana nisiondoke angalau tufahamiane zaidi, kichwani nikawaza hapa naliwa mchana kweupeee. Nikamkubalia huku nikijua kabisa kesho yake nasepa, kesho jikamdanganya imenibidi niodoke nahitajika ofisini haraka sana.

Akasema angekuja yeye wiki inayofuata nilipo, huyu nae nilimzimia simu na sikuwasiliana nae tenaaa. Nimekuja kuonana nae this year march, kidogo nimkimbie ila sikuweza ikabidi tusalimiane na kuniuliza yalonikuta nikaweka uongo mwingi akanielewa. Ameoa na ana mtoto mmoja.
 
Pole jombaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…