Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,419
Hawa wanaotafta wake na waume humu kila sikumbna hawaletagi mrejesho wa ndoa zao wanazofunga....But wanawake walioko humu ndo haohao walioko humu,ila nimejitahidi kutafta mirejesho ya ndoa zinazotakana humu sijapata aiseeAfadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza