Hawa wanaotafta wake na waume humu kila sikumbna hawaletagi mrejesho wa ndoa zao wanazofunga....But wanawake walioko humu ndo haohao walioko humu,ila nimejitahidi kutafta mirejesho ya ndoa zinazotakana humu sijapata aiseeAfadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza
Nadhani wapo ila si unajua watu wengine hawapendi matangazoHawa wanaotafta wake na waume humu kila sikumbna hawaletagi mrejesho wa ndoa zao wanazofunga....But wanawake walioko humu ndo haohao walioko humu,ila nimejitahidi kutafta mirejesho ya ndoa zinazotakana humu sijapata aisee
HaahahahahahMi juzi nimeopoa kimeo kimoja toka Tinder, aisee ukiangalia picha zake alizoweka kule ni balaa, alipokuja live kidogo nilie, kweli sura ni yake ila umbile sasa, kama dwarf sasa sijui aliekua anampiga picha alikua anafanya maksudi au lah.
Niishia kumlipia nauli arudi kwao maana hata mzuka ulikata ghafla.
Haahhahahaahhhaahha hii thread doooohMkuu usiogope. Siku hizi unamkumla hata mtu mwenye ukimwi peku na usipate ukimwi.
Uaiogope.
Kama vile kucheza game la computer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Online huwa natongozaga kama michezo siku nikiboeka najisikia kukosa mtu wakuongea naye basi naamua kuwasumbua ila cha ajabu nliobahatika kukutana nao wanakuwaga real kabisa so sijabahatika kukutana na hao wakufake maana mwenye huwa si fake kabisa
Kikubwa na cha muhimu niAfadhali hao wanaotongoza insta huko sijui twitter. Tabu ipo kwa hawa wanaotongoza Jf jamani mimi wananiacha hoi. Ushimen alishawahi kutoa ushauri wa namna ya kupata mchuchu hapa lakini naona watu walipuuzia na kuona anaongea ujinga ila aliongea ukweli mtupu. Ila ukiona mwanaume anatongoza mwanamke ambae hajawahi kumuona huyo ni bazazi tu kwa sababu anaona hana cha kupoteza
Inawezekana ika ndoa kutoka humu, serious?Nadhani wapo ila si unajua watu wengine hawapendi matangazo
Kikubwa na cha muhimu ni
Kuaminiana, kuwekana wazi, kuambiana ukweli, na kufahamiana vizuri kabla ya hatua nyingi za pamoja...
Sababu hii ni jamii pia kama ilivyo jamii ya nje (ile unayo ishi nayo) mtaani, humu wapo single men and women na wanauhitaji wa wenza...
Kikubwa ni Imani kati yenu
Jamaa anajiamini, then nilikuita + kukupigia hukurespond Wala hukuja nilipokuelekezaHaahhahahaahhhaahha hii thread dooooh
Sasa hutaki au...?? Kama huamini basi we fanya kile unachokiamini si unajua binadamu hatufanani?Inawezekana ika ndoa kutoka humu, serious?
Hahaha we jamaaPicha fake machine iko real
Kinachokusumbua hapo nin si unapiga ukiwa umefumba macho shida iko wap
Sitaki kukufata hukoJamaa anajiamini, then nilikuita + kukupigia hukurespond Wala hukuja nilipokuelekeza
Duuuuuh na kweli aisee,..Sasa hutaki au...?? Kama huamini basi we fanya kile unachokiamini si unajua binadamu hatufanani?
Sasa SI ndo talaka hizoSitaki kukufata huko
Ni kweli mimi sipingi mtu kutafuta mpenzi humu ila at least jenga urafiki walau umfahamu mtu kwanza ndio umtamkie unampenda, hii ya kufika PM na kuanza moja kwa moja kutongoza hakuna mtu anaweza kukuchukulia serious