Changamoto usafiri wa SGR

Changamoto usafiri wa SGR

wakolosai

Senior Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
127
Reaction score
143
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
 
1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

Bila picha mzee baba
 
Eeh! Yaani karne hii bado kuna usafiri wa 3 x 2?!!! Aisee hapo tumebugi
 
Iko hivi 2x3 au 2x2 na hata 1x1 kikubwa huzingatiwa hapo huwa ni room space unaweza kukaa kwa kujiachia kwenye 2x3 kuliko hata 2x2 ambayo room space ni ndogo kwa upana wa behewa ulivyo hiyo 2x3 ni sawa tuu maana ukitaka 2x2 nauli ikiwa kubwa usilalamike
 
Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
 
1. Upande wa ticket SGR miyeyu, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Waswahili mmeshaanza 🐼
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
Mbona hulazimishwi kupanda train, mabasi mbona bado yapo hayo ya 2x2 na hata ukitaka ya 1x2 yapo pia , sasa matamanio yako yasitake kuharibu wengine , upana wa behewa na upana wa basi ni vitu viwili tofauti kabisa
 
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Naam!

Huyo ndo Mtanzania sasa. Hakuna kitu ambacho anaweza kufanya kikaenda kama kilivyopangwa.

SGR hii nayo itaishia kuwa kama mwendokasi tu! 🚮
 
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Mfumo mzima we E ticketing ni bomu!
 
Back
Top Bottom