Changamoto usafiri wa SGR

Changamoto usafiri wa SGR

1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Mfumo wote wa tiketi kielektroniki unauliwa watu wapate kupiga vizuri, umesahau BRT? Umesahau Ferry, zamani sana, umesahau maegesho ya magari eyapoti/

Tanzania bila sheria ya kuuwana kwa ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma kuwekwa tusahau matatizo kutuondokea.

Tutalalamika kila kukicha, wizi, ubadhirifu, ufisadi serikalini tunaukaribisha wenyewe kwa tamaa zetu za kijinga.

Tatizo kubwa la Watanzania ni ujinga.
 
1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.

2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.

3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
Batoto ba Mujini bameanza kuleta machokochoko ili batupige Mafaranga!
 
Iko hivi 2x3 au 2x2 na hata 1x1 kikubwa huzingatiwa hapo huwa ni room space unaweza kukaa kwa kujiachia kwenye 2x3 kuliko hata 2x2 ambayo room space ni ndogo kwa upana wa behewa ulivyo hiyo 2x3 ni sawa tuu maana ukitaka 2x2 nauli ikiwa kubwa usilalamike
Sijui alitaka utofauti uwe nn.
Akitaka utofauti mkubwa apande royal class
 
Back
Top Bottom