Duu! Kazi ipo1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket.
2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2.
3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.