Changamoto usafiri wa SGR

Mfumo wote wa tiketi kielektroniki unauliwa watu wapate kupiga vizuri, umesahau BRT? Umesahau Ferry, zamani sana, umesahau maegesho ya magari eyapoti/

Tanzania bila sheria ya kuuwana kwa ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma kuwekwa tusahau matatizo kutuondokea.

Tutalalamika kila kukicha, wizi, ubadhirifu, ufisadi serikalini tunaukaribisha wenyewe kwa tamaa zetu za kijinga.

Tatizo kubwa la Watanzania ni ujinga.
 
Batoto ba Mujini bameanza kuleta machokochoko ili batupige Mafaranga!
 
Sijui alitaka utofauti uwe nn.
Akitaka utofauti mkubwa apande royal class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…