Changamoto usafiri wa SGR

Duu! Kazi ipo
 
Tayari!!..
Tutasikia mengi
 
Kwa akili hizi za ki-chawa za ki-ccm.
uendeshaji na usimamizi wa huo usafiri, ndio mtihani ulipo.
 
Bwana wewe tulishatoka huko kwenye 3x2 sasa ni two by two. Sasa sii bora nipande basi kuliko hiyo miminyano
Chief hujawahi panda train au unaleta ubishi tu ili kuchangamsha mada?.

Upana wa train ulivyo 3x2 haina shida kabisa, nadhani unaona unaposafiri kwa ndege, ni lini kuliwahi anzishwa mada JF ya 2x2 kwenye ndege?.
 
1 na 3 nakuunga mkono, inahitaji kufanyiwa kazi kwa hali ya kuboresha huduma hii ili iwe bora zaidi.

Hiyo namba 2 siyo kero maana madaraja yanatakiwa kuwa na tofauti, na hapo umeisema hiyo tofauti. Kwa hiyo haina shida.

Kwa ujumla naona wameanza vizuri, kwa usafiri mpya kabisa kuwepo nchini na ukawa na hizo kero mbili tu, wamefanikiwa sana.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…