Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza (mirongo) pamoja na tabora luanzari nawasilisha hoja kwenu kupaza sauti juu ya ukosefu wa vifaa vya kufundishia pamoja na walimu wa fani mbalimbali katika vyuo vya Ufundi Stadi na Marekebisho kwa watu wenye ulemavu Ili kutimiza lengo mama la serikali kuanzisha vyuo hivi kwani kwa Sasa vyuo hivi vipo vitano havina walimu Wala vifaa vya kufundishia Hali inayofanya wanafunzi katika vyuo hivi kushindwa kupata mafunzo zaidi na kutimiza ndoto zao...
Kama lengo la kuvipeleka vyuo wizara ya elimu ni kuboresha mafunzo mbona Hali ya vyuo hivi bado haijatengamaa na wazazi tunashindwa kupata matumaini ya watoto wetu wenye ulemavu