DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

sued's

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
16
Reaction score
22
Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.

Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.

Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
 
Jana asubuhi nimemuona konda kamsukuma mtoto wa miaka kama saba hivi dah. Hivi wazazi mnajua watoto wenu wanayapitia humo kwenye daladala?
Ni hatari sanaa ni mateso basi wangekuwa wanawapeleka hata shule za karibu na wanapo ishi sasa sio kwa mateso ya elimu hiyo sie tumesoma hapa dar mpaka vyuo vikuu ila sasa naona kama ukatili kwenye vituo vya daladala umezidi juu ya wanafunzi
 
Mzazi unampeleka mwanao shule Iko km za kutosha huko uliko hakuna shule za karibu umpeleke?
Unamwandikisha mtoto shule ya msingi upanga halafu wewe unakaa chanika..ni serikali imemsababishia madhila au wewe?
Hili neno
 
Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.

Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.

Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Kwa nino hukuwapa Rifuti ?

We ni mwana jf wa kwanza ambaye huna gari au uko kwa shemela?

(In Jf Member's Voice).

Mzee ni utani tu.
kifupi hilo ni tatizo endelevu mijini hasa Dar
Mama zao nao wanaliwa sana na maboda ama madereva wa mwendo halaka ili wawahi siti kwa hiyo kikubwa kaba kaba baba!
 
Hio ni kila route, ndio maana hata hawa watoto wamekua kma wamevurugwa
 
Kwa nino hukuwapa Rifuti ?

We ni mwana jf wa kwanza ambaye huna gari au uko kwa shemela?

(In Jf Member's Voice).

Mzee ni utani tu.
kifupi hilo ni tatizo endelevu mijini hasa Dar
Mama zao nao wanaliwa sana na maboda ama madereva wa mwendo halaka ili wawahi siti kwa hiyo kikubwa kaba kaba baba!
Rifuti= wasukuma
 
Jana asubuhi nimemuona konda kamsukuma mtoto wa miaka kama saba hivi dah. Hivi wazazi mnajua watoto wenu wanayapitia humo kwenye daladala?
Kwa niliyoyapitia kuanzia std 3 mpk 4m4 , mwanangu hatasoma mbali na nnapoishi shule Sasa hivi ziko nyingi ni sifa na ujinga wa wazazi kutaka watoto wasome mbali na nyumbani ndo vinagharimu sana
 
Hili suala linaniumaga sana kuna wakati nalazimika kuwalipia nauli watoto kadha.

Wanafunzi wamekuwa kama wahalifu,makondakta wanawapiga mikwara sana.

Wazazi nao najiuliza hawajui kama dar usafiri ni washida?!wanashindwaje kuwapa nauli ya mtu mkimya mambo yasiyo mengi?
 
Kwa nino hukuwapa Rifuti ?

We ni mwana jf wa kwanza ambaye huna gari au uko kwa shemela?

(In Jf Member's Voice).

Mzee ni utani tu.
kifupi hilo ni tatizo endelevu mijini hasa Dar
Mama zao nao wanaliwa sana na maboda ama madereva wa mwendo halaka ili wawahi siti kwa hiyo kikubwa kaba kaba baba!
Kwa hiyo wewe mama yako haliwi?
 
Back
Top Bottom