DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Wazazi wanasubiri kila kitu Serikali iwafanyie ikiwa Serikali zetu zinafanya mambo ambayo yanawapa ujiko tu.Wanafunzi wanateseka sana swala la usafiri.....
Ikiwa wazazi wanapenda future za watoto wangefikiria kuwapa nauli au kuwahamishia shule za karibu.
Kuna wakati wazazi waamke na wawe responsible .
Serikali Ina mambo mengi sifikirii Kama wanawaza hata Kama kuna eneo linaitwa Buza .