Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,272
Nu wajibu watu wazima na wazazi usikubali kituoni kuoanda gari bila wanafunzi kupanda.Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.
Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Hii nchi tungeruhusiwa kumiliki silaha ingekuwa safi sana.. unatandika risasi makondakta wote wapuuzi.... Maana mamlaka zimeshindwa kabisa kutunga sheria kali dhidi ya hawa mashetani wanaonyanyasa watoto....Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.
Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Hao ni wanafunzi wa shule za msingi au sekondari?Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.
Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Hiki ndio jibu mnatakiwa wasome karibu ww ulikia unaishi msasani unmehamia g mboto unataka uendelee kusoma mtihaniWazazi wajibikeni kwa watoto wenu
Kabisa mkuu, wazazi wa mjini hawajali kuhusu watoto, hutaka watoto waishi kama watu wazima.Hiki ndio jibu mnatakiwa wasome karibu ww ulikia unaishi msasani unmehamia g mboto unataka uendelee kusoma mtihani
Mungu Uilinde Tanzania ibaki salama.Hii ni nchi ya ulimwengu wa tatu iliobubujikwa na umaskini na huo ndo umaskini wenyewe kwaio waeinjoi umaskini wa nchi na pili umaskini wa familia zao.
Mzazi atimize jukumu la kumpa mtoto nauli.TATIZO NI CCM NDUGU
AFU TATIZO LINGINE NI SISI RAIA
Unapoambiwa tatizo ni CCM uwe unaelewa. Mtoto anakaa Buza Naoangiwa shule ya Sekondari Uhamiaji au Kurasini.Ni hatari sanaa ni mateso basi wangekuwa wanawapeleka hata shule za karibu na wanapo ishi sasa sio kwa mateso ya elimu hiyo sie tumesoma hapa dar mpaka vyuo vikuu ila sasa naona kama ukatili kwenye vituo vya daladala umezidi juu ya wanafunzi
Ungekaa kimya kuficha upumbavu wako, km mmeshindwa siasa huko majukwaani siyo mnavamia kila hoja. We kweli ni kengeTATIZO NI CCM NDUGU
AFU TATIZO LINGINE NI SISI RAIA
Hii Changamoto niliwai kukutana nayo pale shule ya kibasila gari la buza makumbusho konda alikataa wanafunzi kwa sababu hawana pesa hivyo nilichukua jukumu la kuwalipia wanafunzi wale Nauli kiukweli wanateseka sana wanafunzi kama Kuna Namna wanaweza kusaidiwa basi wasaidie makonda Wana nyanya sana watoto utafikiri wao hawana FamilyKuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.
Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Zinaitwa shule za ofisini !Mzazi unampeleka mwanao shule Iko km za kutosha huko uliko hakuna shule za karibu umpeleke?
Unamwandikisha mtoto shule ya msingi upanga halafu wewe unakaa chanika..ni serikali imemsababishia madhila au wewe?
Maeneo ulio taja ni kwa vile umeshuhudia, tatizo hili lipo miji mikubwa yote, dar ikiongoza. Tatizo linaletwa na wazazi na serikali. Wazazi wanahama maeneo ya kuishi, wanafuata shule wanazoamini ni bora kiufundishaji. Serikali haina mfumo wa kuzingatia kusajili watoto kwenye kata. Sasa tuna mfumo wa watoto kuanza wakiwa na miaka 6, kifuatacho ni wazazi kuanza shule.Kuna changamoto jana nilikutana nayo wakuu ya wanafunzi wasichana kama watano walinifata kituoni kuomba simu kuwapigia wazazi wao wawatumie nauli hata elfu mbili watoe wapande bajaji waende nyumbani ilikuwa mida ya saa mbili kasoro hivi maeneo ya relini na walikuwa wanaelekea Gongo la Mboto.
Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.
Na hizi mvua wanakaa vituoni mpaka saa tatu nimeona wanafunzi vituoni na magari yakija wanafungia milango kabisaa hata kituo cha kwa Azizi Ally wanafunzi wanaelekea Buza wanajaa pale kituo cha mafuta cha Oil com ambako gari husimama mpaka saa tatu na ugomvi makondakta wanafunga kabisaa milango wakiona wanataka kupanda
Nyinyi raia ambao ni tatizo ni wa chama gani ambao mnaungana na ccm kuwa tatizo.?TATIZO NI CCM NDUGU
AFU TATIZO LINGINE NI SISI RAIA
Hili ni kosa la wazazi wa watoto hao. Wazazi wakamatwe. Kwann wanashindwa kuwahudumia watoto wao ktk safari za kwenda shule?Na mara nyingi makonda wa daladala za G/Mboto kupitia hii njia ya Buza huwa wanakataa sanaa wanafunzi watoto wanakaa kituoni mpaka na watu wakubwa wengine gari zinakuja wala hawa wasemei au kuwapazia sauti hawa wanafunzi.