DOKEZO Changamoto wanayopata wanafunzi kutoka kwa Makondakta hasa magari ya Buza , na G/Mboto

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanafunzi wanateseka sana swala la usafiri.....
Wazazi wanasubiri kila kitu Serikali iwafanyie ikiwa Serikali zetu zinafanya mambo ambayo yanawapa ujiko tu.

Ikiwa wazazi wanapenda future za watoto wangefikiria kuwapa nauli au kuwahamishia shule za karibu.

Kuna wakati wazazi waamke na wawe responsible .

Serikali Ina mambo mengi sifikirii Kama wanawaza hata Kama kuna eneo linaitwa Buza .
 
Ukiapnda hunu hakikisha Una Mia mbili kamili???!!!
 
Lawama zote ziende kwa serikali ya ccm! Haiwezekani miaka zaidi ya 60 tangu nchi ipate uhuru bado wananchi wanateseka na shida zile zile.
Wananchi na wanachama wa ccm wasio na akili hufurahia kuitwa na kuita watanzania masikini,
Sasa hizo ni sifa za masikini ,masikini hatakiwi kufurahia maisha na CCM wanahakikisha hilo linawezekana ili waendelee kujilia mema ya wadanganyika
 
Brother umeongea jambo kubwa sana tena la maana sana.
Makosa haya yanagusa pande zote;
1. Wazazi
2. Serikali
3. Hao makondakta.
Mungu mwenyewe atusaidie hasa watoto wa familia za hali ya chini.

1. Tanzania, nchi yenye mali nyingi
2. Nchi yenye watu wa Upendo na wakarimu!
3. Nchi yenye watu wanaojituma kwa bidii na fursa zipo nyingi, ila watoto wetu wanapitia shida kibao.

Kwa hali hiyo mtoto atamaliza shule kweli bila kutumia plan B!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…