Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

Ni vizuri sana ata yeye atafanya kazi yao kwa raha na umoja ,mtaishi kwa amani sana ,! Kila la kheli endelea vivo hivyo.
 
Nimegundua wengi hamjawahi kuishi na ma HG. Mnaleta stori za isidingo ila hamufahamu uhalisia wa maisha
 
Nimegundua wengi hamjawahi kuishi na ma HG. Mnaleta stori za isidingo ila hamufahamu uhalisia wa maisha
Kuishi nao vipi? Tumeishi nao ma hg wazuri na wabaya ndgu, ukimpata mzuri unaishi nae vzuri ukimpata ambaye mambo yake hayavumiliki unamtema. Usiseme wewe ndo una uzoefu sana na ma HG hata mimi nimekaa nao sana tena tokea nkiwa mdogo mpaka nikuwa na kwangu had leo naishi nao, najua mambo yao memgi sana lakin kuwa na HG msumbufu au mwenye tabia mbaya haikupi wewe ruhusa ya kumnyanyasa, mwache aende kwao tafta mwingine mwenye unafuu, HG asilimia kubwa wanakera sana lakin mm nina msimamo wangu nkiishi nawewe ukawa na mambo meusi ambayo nimeshindwa kiyavunilia kwa muda fulani basi unarudi kwenu lakin sitoendelea kukaa nae ile kunipelekea kuwa na chuki kwake. NIMEISHI SANA NA HOUSE GIRL siyo wewe peke yako ndugu.
 
Kweli kabisa ya nini mtesane ,muishi bila amani ?, Au kwa kuchukiana ?, Ukimshindwa muache aendelee na maisha yake ,wewe tafuta mwingine maisha yaendelee kwa furaha zote.
 
Kuna wachache waungwana wengine wanastahili mateso tu kwa kweli !
 
Mi wangu ananisaidia mno yani abarikiwe mno huyu binti, mwaka wa tano sasa nipo nae kanikuta nna mtoto mmoja sahivi watatu na wote amewalea yeye....yani hamna hata cha kumlipa huyu binti.
muoe mkuu awe mke wa pili.kama dini yako inaruhusu kufanya hivyo, hayo ndio malipo yake.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna wadada vichomi jmn
Hata uishi nae vizuri vipi habebeki

Nafikiri ukipata mzuri mshikilie
Mbaya fyekelea mbali
 
Nyie mnaosema sema wamama ni wavivu hebu muache usngeee, humo majumbani kwenu mnasaidia kazi gani zaidi ya kushinda tu mkikuna pmb mnakera, kama mna upuuzi wa kula hao hg kuleni tu bila kutoa excuse za kifalah...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2960][emoji2960]umeupga mwingi aiseee
Et tunakunaa...,.
 
Unyanyasaji mkubwa wanaofanyiwa ni kuliwa kavukavu bila kupenda toka kwa mabosi na watoto wao au ndugu zao.
Msiwale kimasihara namna hiyo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ