Changamoto wanazopitia wasaidizi wa kazi majumbani

Nyie mnaosema sema wamama ni wavivu hebu muache usngeee, humo majumbani kwenu mnasaidia kazi gani zaidi ya kushinda tu mkikuna pmb mnakera, kama mna upuuzi wa kula hao hg kuleni tu bila kutoa excuse za kifalah...
Povu
 
Wanawake awapendani wao ndio uongoza kuwanyanyasa mabinti wa Kazi.
Huwa nashangaa Sana serikali kuzuia mabinti kwenda nje kufanya Kazi eti wananyanyaswa hali imeshindwa kuwalinda wa ndani wasinyanyaswe wakati huo haina uwezo wa kuwaajiri watu wake.
 
Wanawake wakorofi uwanyanyasa waume zao na dada wa Kazi pia.
Ukiona nyumba binti wa Kazi adumu ingia toka jua shida ni mwanamke.
Wababa hatunaga time na mabinti wa Kazi.
 
Hawa watoto wanafanya Kazi sababu ya umasikini wa familia zao,mioyo yao imejaa maumivu na maumivu haya umfikia Muumba na ukiwa chanzo cha maumivu kwa wengine huwezi barikiwa.
 
Kumi kwa mia mbili
 
Silaha ya wanawake wapumbavu ni mdomo gari la taka likasome, hatari sana mwanamke mpumbavu akimpa usukani wa mdomo shetani wahanga ni wakazi wa nyumbani kwake.
 
Mi wangu ananisaidia mno yani abarikiwe mno huyu binti, mwaka wa tano sasa nipo nae kanikuta nna mtoto mmoja sahivi watatu na wote amewalea yeye....yani hamna hata cha kumlipa huyu binti.
Dada wanao wamepishana miaka mingapi mingapi?
Mi nnao wawili wamepishana mwaka mmoja na miezi nane
 
Mara nyingi akina mama ndio wanaowanyanyasa mabinti wa kazi.

Mateso kwa house girls yakizidi yafuatayo utokea;

# Mateso na stress zitahamia kwa watoto wako,utakuta mtoto wako nae kafanyiwa ukatili na house girl na ata kuuawa,

# House girl inakuwa rahisi kuchora mpango wa wizi au ata majambazi kuvamia maana hana upendo tena na familia yako,

# Anaweza kuwawekea ata sumu kwenye chakula kulipiza kisasi,

# Anaweza kutembea na mumeo kwa kukukomoa.

N.B. Kukosa upendo kwa anaekutunzia wanao,kukupikia na kuangalia nyumba ni roho mbaya ya kiwango cha shetani,kuwapenda hawa mabinti wa kazi inasaidia sana kupunguza madhara na kuleta amani.
 
Nimempiga sound hg akaforwad Kwa wife Kila kitu halafu nikiwa nampigia naona inaungana na simu ya wife nakata Kila nikijaribu naona yaleyale. Nikauchuna had wife kaja kunitukana kweli kweli.
 
Wakina mama awalijui hili binti wa Kazi ndie password ya nyumbani kwako,kabeba usalama wako.
Every action has equal reaction.
Ukitenda wema utalipwa wema and versa vee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…