A Anonymous Guest Apr 20, 2026 #1 Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500 kila moja kwa siku zimenunuliwa kutatua changamoto ya maji Ubungo DC
Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa hapokei simu, pia hakuna taharifa zozote. Pia soma ~ DAWASA: Pampu 8 zenye uwezo wa kuzalisha Lita 1,500 kila moja kwa siku zimenunuliwa kutatua changamoto ya maji Ubungo DC
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,668 Reaction score 9,806 Apr 20, 2026 #2 Aisee nimeishi ubungo 4yrs tatizo la maji ubungo ni la kudumu kama unaweza kuhama hama tuuu
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,576 Reaction score 20,183 Apr 20, 2026 #3 hilo eneo changamoto yake ya maji labda dawasco iahamishie makao makuu yake hapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 22, 2026 #4 Poleni sana.. Cc: Mahondaw