Mafeking
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 225
- 471
Akishazoea kufanyiwa hivo atakusumbua sana, na ata kazi hutakuwa hufanyi utashinda kumbeba tu.mkuu mm wa kwangu ndio ameanza mda huu anataka unyenyue utembetembe sio usimame
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishazoea kufanyiwa hivo atakusumbua sana, na ata kazi hutakuwa hufanyi utashinda kumbeba tu.mkuu mm wa kwangu ndio ameanza mda huu anataka unyenyue utembetembe sio usimame
Duuuh mwanangu ana 1 na miez kadhaa na hajawahi fikisha 10kgs🙌🏾🙌🏾Pole sanavkwa changamoto unazopitia.
Hayo maswali yanaweza kuksaidia kutafta chanzo kiutalamu
1 .KWanza mtoto wa mwaka 1 anatakiwa awe na kilo angalau 10 na kuendelea.wako ana ngp?
2 . Mwaka 1 na miezi. 4 na hajaanza kutambaa hapo tunasema kachelewa kwenye stage ya ukuuaji tena sana(delayed millestone). Sahvi anawez kufany nn upand wa ukuuaji? Ashawahi kuugua utapiamulo?
(Kama bado ypo legelege kwenye mikono au miguu au upande mmja wa mwili ni dhaifu ndo hio ishu ya utindio wa ubongo/celebral palsy inaibuka)
3 . Hio kukohoa na kutapika. Nawez kusem inawezekan kua n hali ya utumbo haujakaa sawa kumeng'enya chakula vzri ila kuna watoto uzaliw na changamoto z utumbo kujikunja. Choo anapata? Ulimnyonyesha miez 6 ya mwanzo bila kumpa chochte?
4 . Kwako mama, Kipindi cha ujauzito wake uliwahi kuugua? Ulimzaa ana kilo ngapi? Ulijifungulia hospitali au nyumbani? Chanjo amepata ipasavyo?
5 . Ulijifungua kwa njia y kawaida au operation? Mtoto alichelea kulia baada y kutoka tumboni? Kwenye kitovu hajawahi shida kam kupata usaha. Ashawahi kua na manjano?
ILA kama hayo yote yapo vzri mtaalamu ausike ktafta chanzo maana sio kawaida.
Wacheki wataalam maana nmesha ona jamaa jran mtt wake alikuwa analia sana usiku kampeleka hospital akuna kitu usiku awalali ila wakampeleka kwa mama wa kimasai yule mama akamcheki mtt akawauliza maswali akawambia mtt atapona akampatia dawa kama sku tatu mtt akawa frsh kabsahata sielewi mkuu kwanini usiku tu
ndugu huyu mtoto ni mtoto wangu wa nne ila wa ajubu hanywi juisi yoyote tena ni ugomvi ukiwa unamnywesha uji ndio hataki kabisa ndugu inaniuma kwa sasa nipo karibu sana na mtoto najionea mwenyeweMinaona mkuu, utakua unashida kwenye mtu anae mlea mwanao wakati wewe umeenda kazi.
Huyo mtoto nikama amedumaa na afya yake imedhoofika kutikana na lishe tu.
Ebu fanyia kazi hili maana unaweza ukawazunguka wataalamu wa watoto kwanza wakakusikiliza kisha wakaona kabisa tatizo lilipo ila wewe hautaki kuliona ukiamini hilo sio tatizo.
ishawahi mkuta mwanangu hii,alikua anacheza vizur tu,sasa tuingie kulala aseee mtoto akaanza kukohoa na kutapika ghafla tu, kusema kwel sikumpa chochote zaidi aliombewa na kukaa sawa kabisa Mungu ni mwema 🙌🏾🙌🏾hadi leo haijajirudia.Kwa namna unavyoeleza tatizo la Mtoto wako, nimeshuhudia baadhi ya Watoto wenye tatizo kama la Mtoto wako...!
Maombi ya nguvu yatamtoa Mwanao kwenye tatizo ulilonalo...!
Unasema umeomba Sana bila ya Mafanikio, unajua Kanuni za Maombi....!?
Una Imani....!?
ana kilo 8
kila anapo taka kutamabaa anaumwa sana hali inayo mfanya kurudi nyuma
kipindi cha mimba hakuwai kuugua
na alijifungua kawaida
Mpka hapo hzo kilo na 8 ukienda ni hospitali ni tatizo tayri. Mtoto wa kilo8 hua ni wa miez 7 au nane. Imagine wako yko nyuma kiasi gani maana mtoto wa mwaka 1 anatakiwa awe na kilo 10.ana kilo 8
kila anapo taka kutamabaa anaumwa sana hali inayo mfanya kurudi nyuma
kipindi cha mimba hakuwai kuugua
na alijifungua kawaida
Bila ya shaka udaktari mkuu pia nimemwambia nahisi mwanawe ana utindio wa ubongo kwa dalili anazozisemeaMpka hapo hzo kilo na 8 ukienda ni hospitali ni tatizo tayri. Mtoto wa kilo8 hua ni wa miez 7 au nane. Imagine wako yko nyuma kiasi gani maana mtoto wa mwaka 1 anatakiwa awe na kilo 10.
1. Ashawahi kulazwa au kuugua kabla?
2. Baada ya kumzaa ulimpaje chakula mpka hpo alipofikia? Au hua unamwachia mtu? Ashawahi kupata utapiamlo? Chanjo zote kapata?
3. Amelegea upande mmoja au kwenye miguu au mikono kuna ulegevu wa viungo (ugoigoi)
4 kwenye familia yenu kuna historia ya magonjwa ya moyo, mtu mwenye kifua kikuu na upande wa afya ukimwi hali ipoje ?
5. Kipindi unamzaa ilitokea hali ya uchungu kukata na mtoto kuchelewa kutoka au akatoka na ku chelewa kulia?
Maswali yale ya mwanzoni na haya yatakusaidia kupata chanzo. Ila kwa kilo 8 huyo mtoto ana tatizo la kiafya.( sanasana hua ni utindio wa ubongo/ celebral palsy).
Mengine hayo ya kustuka n kulia usiku wataalaam na wazee wa miti shamba watakup mwongozo
AKinyonya miezi 6 ya mwanzo bila kupewa chochote hata maji. Baada ya hapo ndo uanze kumpa maji, uji umchanganyie na karanga angalau balance diet awe anaitimiza.Duuuh mwanangu ana 1 na miez kadhaa na hajawahi fikisha 10kgs🙌🏾🙌🏾
Amuangalie kama kalegea miguu au mikono au upande wa mili, ukaongeza na hizo kilo na kuchelewa kukua basi ndo hio issue. Labda kama kuna magonjw y kurithi au mtoto amezaliw n shida nyngne (cengenital diseases)Bila ya shaka udaktari mkuu pia nimemwambia nahisi mwanawe ana utindio wa ubongo kwa dalili anazozisemea
nimemlea mwenyewe hadi sasa,kuugua mwanangu hapana,ila kwenye kuzaliwa kwel alizaliwa na chini ya kilo 3.AKinyonya miezi 6 ya mwanzo bila kupewa chochote hata maji. Baada ya hapo ndo uanze kumpa maji, uji umchanganyie na karanga angalau balance diet awe anaitimiza.
Sema unakuta watito wengne wanaachwa n wasichana wa kazi au n bibi, wanalishwa na wadogo zao, wanaugua wakiw na umri mdogo hasa utapiamlo. Au alizaliwa na kilo chache ( chini ya kilo 3) ndo maana ni vigumu kufikisha kilo 10 akiwa na mwaka:1
mkuu huwezi amini mtoto ananitesa sana kula changamoto magonjwa yanamuandama naomba unielekeze ulipoenda kama anaweza kupata nafuuI feel sorry for you, mwanangu wa pili katutesa hivyo hivyo! Ila sasa angalau japo aliponea kwenye dawa za kienyeji, now anakula chochote anacheza na kuongea maneno yote.
Unaishi wapi!? Maana huyo mtu aliyetusaidia anapatikana Moshi!mkuu huwezi amini mtoto ananitesa sana kula changamoto magonjwa yanamuandama naomba unielekeze ulipoenda kama anaweza kupata nafuu
shukrani mkuuuMpka hapo hzo kilo na 8 ukienda ni hospitali ni tatizo tayri. Mtoto wa kilo8 hua ni wa miez 7 au nane. Imagine wako yko nyuma kiasi gani maana mtoto wa mwaka 1 anatakiwa awe na kilo 10.
1. Ashawahi kulazwa au kuugua kabla?
2. Baada ya kumzaa ulimpaje chakula mpka hpo alipofikia? Au hua unamwachia mtu? Ashawahi kupata utapiamlo? Chanjo zote kapata?
3. Amelegea upande mmoja au kwenye miguu au mikono kuna ulegevu wa viungo (ugoigoi)
4 kwenye familia yenu kuna historia ya magonjwa ya moyo, mtu mwenye kifua kikuu na upande wa afya ukimwi hali ipoje ?
5. Kipindi unamzaa ilitokea hali ya uchungu kukata na mtoto kuchelewa kutoka au akatoka na ku chelewa kulia?
Maswali yale ya mwanzoni na haya yatakusaidia kupata chanzo. Ila kwa kilo 8 huyo mtoto ana tatizo la kiafya.( sanasana hua ni utindio wa ubongo/ celebral palsy).
Mengine hayo ya kustuka n kulia usiku wataalaam na wazee wa miti shamba watakup mwongozo
mkuu natamani unielekeze maana jana nilivyotoa hii post hatujalala hadi mda huu saa 10 alfaji mtoto ndio anapata usingizi tena kalala mwenyewe vizuri kama sio yeye alie kuwa anasumbuaWacheki wataalam maana nmesha ona jamaa jran mtt wake alikuwa analia sana usiku kampeleka hospital akuna kitu usiku awalali ila wakampeleka kwa mama wa kimasai yule mama akamcheki mtt akawauliza maswali akawambia mtt atapona akampatia dawa kama sku tatu mtt akawa frsh kabsa
nipo dar mkuuUnaishi wapi!? Maana huyo mtu aliyetusaidia anapatikana Moshi!