Changamoto ya mtoto kulia sana usiku

Changamoto ya mtoto kulia sana usiku

Kwa namna unavyoeleza tatizo la Mtoto wako, nimeshuhudia baadhi ya Watoto wenye tatizo kama la Mtoto wako...!

Maombi ya nguvu yatamtoa Mwanao kwenye tatizo ulilonalo...!

Unasema umeomba Sana bila ya Mafanikio, unajua Kanuni za Maombi....!?

Una Imani....!?
naimani nimemehengaika sna sana ndugu juu ya huyu mtoto namuonea huruma anavyoteseka
 
naimani nimemehengaika sna sana ndugu juu ya huyu mtoto namuonea huruma anavyoteseka
Mpeleke Kwa Wachungaji wakamuombee...!

Usihangaike na Majina makubwa ya Wachungaji, tafuta Mchungaji tu wa kawaida mwenye Nguvu ya Mungu, ambaye atamwombea Mtoto na kukupa Mwongozo...!

Ukienda Kwa wale Wachungaji wa Mafuta ya Upako ama "Pokea Magariiiiii...." Utasema tu I receive bila Mabadiriko.
 
mkuu natamani unielekeze maana jana nilivyotoa hii post hatujalala hadi mda huu saa 10 alfaji mtoto ndio anapata usingizi tena kalala mwenyewe vizuri kama sio yeye alie kuwa anasumbua
Pole sana mkuu kwan upo mkoa gan ww?
 
Usikubali kukaa nyumbani na mwanao, watumie message watu wote unaoona wanaweza kukusaidia
 
nipo dar mkuu
MKUU POLE SANA.
Kabla ya kupoteza pesa popote. Nenda Muhimbilli moja kwa moja kampime mwanao Sikoseli/Selimundu. Kwa sasa au leo Nunua Dawa ya maji ya Ibumex atapata nafuu. Narudia Usihangaike kwingine nenda kapime sikocell ukikuta hana ndipo ufuate ushauri mwingineo.
Ahsantena pole sana.
 
Licha ya mashauri mengi ya wadau humu ndani,,,fukiza bangi hicho chumba
 
MKUU POLE SANA.
Kabla ya kupoteza pesa popote. Nenda Muhimbilli moja kwa moja kampime mwanao Sikoseli/Selimundu. Kwa sasa au leo Nunua Dawa ya maji ya Ibumex atapata nafuu. Narudia Usihangaike kwingine nenda kapime sikocell ukikuta hana ndipo ufuate ushauri mwingineo.
Ahsantena pole sana.
sawa ndugu shikrani
 
Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima.

Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu kuingia kwenye maombi napo bado sijaona tofauti changamoto zinazo mkabili ni kulia sana usiku na kukohoa hadi kutapika usiku

Hii ikifika mida ya saa 4 mtoto anashtuka na kuanza kulia sana namkumbatia anaendelea kulala hapiti mda anashtuka analia hadi kunakucha nimwendo huo hua analala nashtuka na kulia ila ikifika saa 10 anaanza kukohoa sana kana kwamba kuna kitu kimemkaba hadi anatapika ndio anakaa sawa.

2. Hatambai wala hatembei
ndugu zangu nampenda sana mwanangu cha ajabu kila napo anapotaka kutambaaa anaanza kuumwa .

3. Hali ugali bila maji
mwanangu hawezi kula ugali bila maji yaani hawezi kuumeza bila maji hata uwe mlaini vipi.

kunywa uji au juisi hataki hata viwe vitam kiasi gani.

NIMEHANGAIKA SANA JUU YA HUYU MTOTO LAKINI SIJAPATA MABADILIKO.

Sasa ani saa 3 mtoto anaanza kulia hadi kunakucha
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU
Habari yako Mkuu? pole sana hapo kwako kuna nguvu ya giza ndio inayomfuatamtoto wako usiku kumfanya asiweze kualala na kulia na kukohoa kuna vitu 3 cha kwanza kuna majirani zako wachawi wanaokuja usiku kumchezea huyo mtoto. Cha pili au kuna pepo mchafu katika hiyo nyumba anaye muinamia mtoto wako wakati wa usiku na kukunyima raha wewe usipate kulala na mtoto asiweze kulala. Na jambo la mwisho huenda wewe una pepo kichwani mwako anayemuharibu mwanao na kukutesa ili usiweze kulala usiku wewe na mwanao nitafute kwa wakati wako ili niweze kumtibia mwanao apate kupona hayo matatizo yake auguwe pole mwanao.
 
Mwanangu nae ana mwezi mmoja usiku huwa anaamka na kulia sana but akinyonyeshwa analala baada kama ya masaa manne analia tena akinyonyeshwa analala mazima mpka asubuh.Kuna shida hapo kweli?
Kwa umri huo hayo kulala na kulia hayo masaa ni sawa mkuu.
 
Ndugu poleni na mjukumu ya kutwa nzima.

Wapendwa hii sasa imenizidi nguvu siku ya tatu sasa sijafanya kazi yoyote. Mwanangu na umri wa mwaka na miezi 4 kuikweli huyu mtoto sijajua shida nini hasa nimejaribu kwa madaktari bingwa wa watoto sijabahatikaa kuona tofauti yoyote nimejaribu kuingia kwenye maombi napo bado sijaona tofauti changamoto zinazo mkabili ni kulia sana usiku na kukohoa hadi kutapika usiku

Hii ikifika mida ya saa 4 mtoto anashtuka na kuanza kulia sana namkumbatia anaendelea kulala hapiti mda anashtuka analia hadi kunakucha nimwendo huo hua analala nashtuka na kulia ila ikifika saa 10 anaanza kukohoa sana kana kwamba kuna kitu kimemkaba hadi anatapika ndio anakaa sawa.

2. Hatambai wala hatembei
ndugu zangu nampenda sana mwanangu cha ajabu kila napo anapotaka kutambaaa anaanza kuumwa .

3. Hali ugali bila maji
mwanangu hawezi kula ugali bila maji yaani hawezi kuumeza bila maji hata uwe mlaini vipi.

kunywa uji au juisi hataki hata viwe vitam kiasi gani.

NIMEHANGAIKA SANA JUU YA HUYU MTOTO LAKINI SIJAPATA MABADILIKO.

Sasa ani saa 3 mtoto anaanza kulia hadi kunakucha
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU

Huyo mtoto ana shida ya Mmeng’enyo wa chakula , halafu pia nishati ( Energy) yake iko stuck level kiasi kwamba haifungui Mifumo kufanya Kazi vizuri , kwa hiyo akila chakula usiku analemewa , hawezi kupumua sawa sawa , kwa maana Tumbo badala ya kusukuma chakula chini husukuma juu , ndio maana anakohoa ili kutoke

Hivyo basi ale chakula mapema mwisho saa 12 jioni na kiwe chepesi , ili Mmeng’enyo wake ufanye Kazi sawa , na hata akilala anakuwa mwepesi hivyo tatizo hilo litapungua sana !

Pia mpake mafuta ya zeituni kwenye nyayo na massage nyayo zake , chini ya nyayo ili kusisimua mishipa yake na kufungua ili kurudisha energy kwenye Mifumo yake , usimpe dawa aina yoyote , massage ifanyike kabla ya kulala usiku !
IMG_2362.jpg
 
Mwanangu nae ana mwezi mmoja usiku huwa anaamka na kulia sana but akinyonyeshwa analala baada kama ya masaa manne analia tena akinyonyeshwa analala mazima mpka asubuh.Kuna shida hapo kweli?
Mtoto ana njaa ndo maana analia…
 
Mwanangu nae ana mwezi mmoja usiku huwa anaamka na kulia sana but akinyonyeshwa analala baada kama ya masaa manne analia tena akinyonyeshwa analala mazima mpka asubuh.Kuna shida hapo kweli?
Shida ni njaa tu, maziwa madogo hashibi vizuri hapo🤣 hata mimi wangu alikuwa anasumbua balaa tunahisi ni gas kumbe hashibi.
 
Back
Top Bottom