Sasa kinyume chake, wengi ndo wanaojirahisisha, na wachache ndo wanalazimishwa, hata mie nnao nilosoma nao, na nlishuhudia pia kuhusiana na nnacho kizungumza.Mimi sasa nimesoma na dem alikuwa anawekewa sifuri tu na HOD for ni reason sababu tu lect Alikuwa akimtaka demu, alikaza sana mwsho wa siku aliamua ku surrender na hata akienda kushtaki hakuna anayemsikiliza.
Japo sikatai wapo wanaojirahisisha ila wengi huwa ni wa kulazimishwa
Sure pia tamaa kuish maisha nje ya uwezo wao.Sasa kabla ya hapo uliza stori zao zilikuwaje wakaingia kwenye hayo.
1. Kushindwa kujisimamia uhuru walioupata
2. Kunyanyaswa kingono
3.makundi
Mimi swezi kujua mkuu. Ila Mimi wengi niliokaa nao alishapitia unyanyasi akajiona ile thamani haipo tena, huenda pia ukawa sahihiSasa kinyume chake, wengi ndo wanaojirahisisha, na wachache ndo wanalazimishwa, hata mie nnao nilosoma nao, na nlishuhudia pia kuhusiana na nnacho kizungumza.
#17
Nina washkaji kibao wakike na wengine nilisoma nao O level, wanashinda kitambaa cheupe, havoc na viwanja vingi vya mjini. Kama unao kaa nao chini muulize ivi ulianzaje anzaje ila tu uwe na ule urafiki wa karibu utasikia mengi sana na kuna mda anatamani kuacha ila hawezi alishaathirika
Aisee Lecture tena na siyo Lecturer?Si kweli tumepita huko watoto wakike wanateseka mno jinsi hata inavyosemwa, kuna lecture alikuwa anawatishia ivo ivo Halafu anakula wawili na s wanajuana mmoja Akaacha chuo, wanateseka sana sana.
Wanaume huwa sijui tunafeli wapi
Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.
Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi ya wahadhiri wao wanaowarubuni kwa kuwatishia kufeli.
Nimesikia kesi nyingi kwa chuo cha CBE Mwanza. Changamoto hii inaharibu ndoto kwa baadhi ya mabinti wengi wa kitanzania.
Tunaiomba TAKUKURU na vyombo vingine vya usalama vifanye uchunguzi na kutoa haki ili tupate wahitimu bora na tuokoe mabinti hawa watimize ndoto zao.
Sasa kinyume chake, wengi ndo wanaojirahisisha, na wachache ndo wanalazimishwa, hata mie nnao nilosoma nao, na nlishuhudia pia kuhusiana na nnacho kizungumza.
Hilo haliwezekani.Duh mkuu ni hatar tafuta njia uwasaidie.Hao wameshamalza chuo au bad wanaendelea pia mly ni waongo mkuu.
Naijibu no 2, na ndo mada husika, hii ipo ila sio kwa kiwango ambacho mnaaminishana hapa, mnawalaumu buree wazee wa watu, mabinti zenu ndo konkodi wa kuwatega na kuwawinda hao wakufunzi ili wapate kitonga cha pesa na kufaulishwa.Sasa kabla ya hapo uliza stori zao zilikuwaje wakaingia kwenye hayo.
1. Kushindwa kujisimamia uhuru walioupata
2. Kunyanyaswa kingono
3.makundi
Sasa jichanganyee uzoe luku ya milele isiyo na malipo.Duh mkuu umesema ukweli Hawa mademu wa chuo ni kuwa nao makini kumbe anaweza kuunganisha grade ya taifa.
Ndio maana nikasema hiv kabla ya hapo ungeuliza walianzaje?Naijibu no 2, na ndo mada husika, hii ipo ila sio kwa kiwango ambacho mnaaminishana hapa, mnawalaumu buree wazee wa watu, mabinti zenu ndo konkodi wa kuwatega na kuwawinda hao wakufunzi ili wapate kitonga cha pesa na kufaulishwa.
Siutakii unafikiii mie.
Duh htr mzee.ila wamemlza chuo?Hilo haliwezekani.
Huenda wakawa waongo ila wengi mm naongelea marafik naowafahamu yeye haoni shida kukwambia mtu fulani anataka hiv na hv, tangu anaanza unaona mabadiliko mdogo mdogo anazoea kabsa, inabd umuache tu hata ukiongea nae hawez tena
AsanteAisee Lecture tena na siyo Lecturer?
😀. Kinga muhmuSasa jichanganyee uzoe luku ya milele isiyo na malipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio wote.Duh htr mzee.ila wamemlza chuo?
Sijakataa kuhusu wanaolazimishwa wapo, ila ¢ kubwa ni hawa wa kutaka wenyewe.Mimi swezi kujua mkuu. Ila Mimi wengi niliokaa nao alishapitia unyanyasi akajiona ile thamani haipo tena, huenda pia ukawa sahihi
Kwani mie nimekataa au sijui hilo? Mbona maelezo yangu yako wazi.Ila wapo wanaolazimishwa na malect wakiwatishia kuwafelisha bint anaona atoe utam maana yeye ndo mkomboz wa familia.
Huu ni ukweli.Asili ya mwanamke hawezi kutongoza ukimjulisha cheo cha mkufunzi hakuna mwanamke jasiri anaweza kumtongoza lecturer.
Nikiwa na maana weny matatizo wanaotongoza ni hao wakufunzi , mkufunzi ni mtumishi wa umma anapoacha maadili ya utumishi wa umma balaa lake ndio hilo kama DC tu anazaa nje bila ya ndoa mnaona sawa basi kaeni kimya kweny ishu za ngono vyuoni kila mtu ashinde mechi zake za nyumbani.